Pages

Subscribe:

Sunday, November 27, 2016

BEN POL AIZUNGUMZIA NYIMBO YA DARASSA "MUZIKI"

Katika hali ya kibiashara katika soko la muziki hili tunaweza kusema limemgeukia mkali wa ngoma kadhaa ambazo zimekuwa hit kwa muda mrefu. Mwanzo Darassa alikuwa anaimba nyimbo ngumu lakini tangu alipoamia kwenye kuchanganya vyombo zaidi amejikuta ndo sehemu aliyokuwa anasubiriwa na mashabiki wengi.

'Muziki' ni ngoma mpya ya Darassa aliyomshirikisha Ben Pol, lakini Ben Pol anaitabiria makubwa zaidi ngoma hii kwa kuifanya kuwa na maudhui flani ya... kiafrika na kupenda na watu wengi zaidi.

0 comments:

Post a Comment