Pages

Subscribe:

Wednesday, November 23, 2016

DIAMOND PLATNUMZ OMMY DIMPOZ AMENIPIGIA SIMU LAKINI SIKUPOKEA

Nimekuwekea hapa Maneno Aliyosema Diamond Leo Kwenye Kipindi cha XXL:
Ommy Dimpoz ameshatuma watu wengi sana kuomba msamaha, amenipigia hadi simu lakini sikupokea. Ila nimemsamehe- @diamondplatnumz #XXL

Zingine hizi:
Wanajisifu wana sauti nzuri lakini makoo yanawakauka na 'show' hawapati, wakifanya nyimbo haziendi... mbali- @diamondplatnumz #XXL

Kama mimi ni msanii wa ujanja ujanja mbona nafanya nyimbo zinakwenda kimataifa na matamasha kimataifa yanajaa?- @diamondplatnumz #XXL

Mimi ni mtu mstaarabu sana lakini watu wananiona kama nina kejeli, na kila wakitaka kushindana na mimi wanashindwa- @diamondplatnumz #XXL

Wimbo wa I Will Mary You niliyomshirikisha Ne-Yo haujavuja lakini ulitoka ukaanza kusambazwa Marekani na Ulaya- @diamondplatnumz #XXL

0 comments:

Post a Comment