Pages

Subscribe:

Wednesday, November 30, 2016

KOCHA WA TIMU YA CHAPACOENSE ALITABIRI KIFO KABLA YA AJARI YA NDEGE



Analopanga mola siku zote huwezi lipangua, daima Tarehe 29.11.2016 itakuwa ni moja ya siku ambayo wanamichezo na mashabiki wasoka hawatokuja kusahahu.

Tarehe 29.11.2016 ndiyo siku ambayo ndege iliyobeba wachezaji wa Chapacoense ilipata ajali na kuua takribani wachezaji wote, Chapecoense ilikuwa imefika hatua ya fainali ya Copa Sudamericana, ambayo ni sawa na Europa League kwa Ulaya na walikuwa wanaelekea...
Medellin kwa ajili ya kucheza mchezo wao wa fainali dhidi ya Atletico Nacional siku ya leo Jumatano.ajali-ya-ndege
Ila jambo la kushangaza ni kwamba Kocha wa Timu hiyo kauli yake aliyoiongea ni kama alikuwa anajitabiria baada ya kusema kwamba kwa sasa timu ya Chapecoense imefika fainali, hata kama nikifa hakutakuwa na tatizo lolote.

0 comments:

Post a Comment