Pages

Subscribe:

Monday, November 28, 2016

RAPPERS 6 WA KIKE KUTOKA BONGO WAKUTANA KWENYE WIMBO MMOJA


e8f12581-36c5-4ffe-967a-9b3d58d7ce5b
Stosh, Cindy Rulz, Rosa Ree, Chemical, Pink na Tammy wataoonesha umwamba kwenye ngoma ya pamoja iitwayo ‘Hola Hola’ iliyotayarishwa na Nahreel. Wimbo huo uliopo kwenye mradi uliopewa jina Dada Hood utatoka Jumatano hii. Mtangazaji wa Clouds FM, Mamy Baby naye ameweka nakshi zake.

0 comments:

Post a Comment