Pages

Subscribe:

Thursday, November 24, 2016

RICH MAVOKO AWAJIBU WALIODHANI AMEPOTEA KIMUZIKI BAADA YA KUJIUNGA NA WCBB

Rich Mavoko amefunguka haya:
"mimi ni mtu ambae taget zangu nazijua mwenyewe na huwa najua mzikiwangu nataka niupeleke wap,sasa anapokuja mtu na kunipa maneno kuhusu maamuzi yangu na hajui lengo langu mimi nakuwa nampuuzia tu ndio maana ninaimani na mziki wangu na najua kile ambacho mashabiki zangu wanaitaji kutoka kwangu."alisema Mavoko.

0 comments:

Post a Comment