Pages

Subscribe:

Sunday, November 27, 2016

MWANA FA: PESA SIYO KITU KWENYE MAHABA


Siku kadhaa baada ya kuachia ngoma mpya 'Dume Suruali', rapa Khamis Mwinjuma ‘Mwana Fa’ amesema kwenye uhusiano wa mapenzi fedha ni kitu cha ziada hivyo zisipewe kipaumbele. 
Kwa mujibu wa Mwana Fa kinachokamata mapenzi ni upendo, unapoona mwenzako anaendekeza zaidi fedha kuliko mapenzi ya dhati basi ujue kuna tatizo.
“Kwenye ‘Dume Suruali’ nimejaribu kuwatetea wanamume wenzangu ambao wanakumbana na...
changamoto za kuombwa ombwa mkwanja 'fedha' na wapenzi wao kuliko hata kuonyeshwa mapenzi, mapenzi ni vitendo na siyo kukomoana.”

0 comments:

Post a Comment