Pages

Subscribe:

Thursday, November 24, 2016

Q BOY: SIJAMSHIRIKISHA RAYVANNY KUTAFUTA KIKI

q boy
Msanii kutoka Wasafi Records Q Boy ambaye anatamba na wimbo wake wa Mugacherere aliomshirikisha Rayvanny pamoja na Shetta ikiwa Video Imefanyika Johannesburg, South Africa na imeongozwa na Nicorux.

Q Boy amekanusha tetesi za kuwa wimbo huo ungebuma kama wasanii hao wawili wasinge shirikishwa. Akipiga story na eNewz, Q Boy alijibu mitazamo hiyo na kusema si kweli kuwa Rayvanny na Shetta wame tumika...
kumbeba kwenye ngoma hiyo.

“Mimi sijamuomba Shetta wala Rayvanny waingize sauti kwenye ngoma hiyo, wao wenyewe ndiyo walitaka kuingiza sauti zao na hata kabla ya wao bado ngoma ilikuwa kali”

Pia aliongeza kwa kusema kuwa kabla ya kutoa wimbo pia huwa wanamshirikisha Diamond ausikilize kwanza kabla haujatoka ili kama kuna kitu cha kuongeza aongeze.

0 comments:

Post a Comment