Pages

Subscribe:

Sunday, November 27, 2016

NIKKI WA II ATOA USHAURI KWA VIJANA WANAO OGOPA KUINGIA KWENYE NDOA

Kutoka kwa nikkwapili - He he me sio mshauri..wanao ni Dm...kuuliza abt ndoa (marriage) this is what i think kuhusu ndoa baada ya muda wengi huona kama kifungo, kikwazo cha kumkosa msichana yule, au jamaa yule, au bata lile na kadhalika hapa wana miss the point kumbuka ukiwa shule ukaambiwa soma na uachane na mambo kama starehe, movies nakadhalika.

Na leo kitabu kina kunakufaisha na wengi walio babaishwa na mambo mengine wanajuta sasa ni sawa na ndoa, ndoa sio jela ndoa ni taasisi muhimu itakayo kulinda thidi ya tamaa za ngono, starehe, na kukufanya...
uwekeze kwenye vitu vya maana future, kazi, biashara nakadhalika so kama shule ilivyokuwaga na changamoto za mitihani, fimbo, usingizi, ugumu wa bording ukavumilia na leo unakula matunda.

Sawa na ndoa nayo inachangamoto lakini ukivumilia matunda utayala mema sana sana so wengi wanao zingua katika ndoa nikwakuwa wameshinda kuelewa hii dhana na mwishowe huaribu maisha yao, wenzao wao na watoto yani huwa kama wale waliokataa shule

0 comments:

Post a Comment