Pages

Subscribe:

Thursday, June 30, 2016

DARMIAN SOUL ASIMULIA ALIVYOPATA TABU NA NGOMA YAKE KAUMBA

4K0A8812
Damian Soul amesema wimbo wake ‘Kaumba’ aliomshirikisha Vanessa Mdee ulimtoa jasho haswaa – kama sio kamasi kabisa. Amedai kuwa wimbo huo ulizaliwa alipokuwa nchini Kenya mwaka jana kwenye kipindi cha Maisha Superstars. Anasema alitaka kufanya wimbo na Nameless aliyemwambia kuwa...

BLACK RHYNO ASHEREHEKEA MIAKA MINNE YA NDOA

13561748_567733520068067_1937865653_n
Rapper Black Rhyno ni mfano halisi kuwa ndoa za mastaa kumbe zinawaweza kudumu kama za raia wa kawaida. Leo rapper huyo na mke wake, Beatrice wanasherehekea miaka minne ya ndoa yao na wanaendelea kuonesha kuwa thabiti. Miaka minne iliyopita, June 30 walifunga ndoa yao.

Wawili hao walifahamiana chuoni na kuwa na uhusiano kwa miaka mingine kibao kabla ya kufunga ndoa, Black Chatta ameshare picha kadhaa za ndoa yao kwenye...

PREZZO AJINADI KUWA NA UKARIBU NA FOYD MAYWEATHER

Prezzo1
Mfalme wa bling bling nchini Kenya, Prezzo amedai kuwa bondia tajiri wa Marekani, Floyd ‘Money’ Mayweather ni mshkaji wake na huwa wanapiga story za hapa na pale. “Mimi nina connection, mimi na Floyd Mayweather yule bondia mimi na yeye tunaongeaga yaani,” Prezzo alikiambia kipindi cha Funiko Base cha Radio 5 ya Arusha.

“Fight yake sio ile iliyopita, ya mwisho, ile fight yake ya 48 alikuwa amenialika shida ilitokea kwamba nilikuwa sijarenew visa yangu ya America na huwa kuna bonge la foleni, so siku yeyote nikienda Las Vegas usishangae...

DOGO JANJA: SIWEZI KUZIKWA DAR ES SALAAM


Msanii Dogo Janja leo kupitia kipindi cha Planet Bongo ameweka wazi wosia wake kuwa siku ikitokea amefariki hataki kuzikwa Dar es Salaam bali anatakiwa kusafirishwa na kurudishwa nyumbani kwao Arusha.

Dogo Janja alisema kwa utani kuwa hawezi kuzikwa Dar es Salaam kwa sababu ya jua kali na joto kali bali anahitaji mwili wake siku akidondoka ukazikwe Arusha na si Kondoa wala...

RUBBY: YAMOTO BAND HAWAKUONA UMUHIMU WANGU


Msanii Ruby ambaye ameshirikishwa kwenye wimbo mpya wa Yamoto Band unaofahamika kwa jina la 'Suu' amefunguka na kupinga kauli iliyotolewa na maneja wa Yamoto Band, Mkubwa Fella kuwa yeye ana stress ndiyo maana maana alishindwa kutokea kwenye video.

Akiongea na mwandishi Rubby amesema Yamoto Band hawakuona umuhimu wake kwenye video hiyo ndiyo maana waliweza kushoot video hiyo siku ambayo yeye alikuwa busy na mambo yake mengine, na kusema kutokana na...

BILL NAS: NAMUHESHIMU SANA TID

Akiongea kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, Bill Nas amesema TID ni mtu muhimu sana kwake kwani ana mchango mkubwa kwenye maisha yake na muziki wake kiujumla.

"TID ni mtu ambaye mi namuheshimu sana, ana mchango kwenye muziki wangu na mambo mengine, hata leo unaposikiliza ligi ndogo ni kati ya chorus kali sana ambazo mi naziheshimu sana, lakini kuhusu kutoka radar na vitu vingine, nilikuwa nataka...

HADITHI: NYUMA YA MACHOZI (sehemu ya kumi na moja) 11


MTUNZI: Ally Mbetu ‘Dr Ambe’
ILIPOISHIA:
“Sawa,” Kinape aliitikia huku akimshika mkono Happy aliyekuwa ameiva na kuwa mwekundu kwa hasira. “Hebu ngoja,” Happy alijitoa mkononi mwa Kinape. “Happy hebu msikilize mwenzako,” Kilole aliingilia kati baada ya kuona Happy akitafuta msaada kwake. “Sikiliza dada, Kinape ananinyanyasa sana.” “Mdogo wangu ngoja nizungumze na mgeni, tutalimaliza nina imani kabisa Kinape anakupenda sana.” Kinape na Happy walitoka nje na kuwaacha Kilole na Jimmy.
SASA ENDELEA...


Usiku baada ya kutoka kumpiga picha za aibu Kilole, Jimmy alikuwa mtu mwenye mawazo mengi sana. Toka aanze kazi ile hakuwahi kukutana na tukio zito kama lile, Tokio kubwa lilikuwa...

Download: Akon_Secret


Download

Download: DMX_Blood Red


Download

Download: Diddy ft French Montana, Chinx , Bobby Shmurda & Rowdy Rebel_Shmoney Aint A Problem (RMX)


Download

Download: Makomando_Wanachezaje


Download

Watch & Download: Don Pol ft Mesen Selekta_Tatu [Official Video]


Watch Here

VANESSA MDEE AELEZA WASI WASI WAKE JUU YA LEBO ZA MAREKANI NA AFRIKA


Vanessa Mdee ni miongoni mwa wasanii wa Tanzania wenye moyo mzito kila linapokuja suala la kusainishwa na label za nje. Ni kwasababu anaamini mfumo wa label za Kimarekani hauwezi kuzaa matunda kwenye...

B.O.B MICHARAZO KUTOA WIMBO MPYA HIVI KARIBUNI

beka
Member wa kundi la B.O.B Micharazo, Beka Tittle amesema muda siyo mrefu wataachia wimbo wao mpya kutoka studio ya MJ Records. Hivi karibuni mambo yalionekana kuwa tofauti kati ya Mr Blue, Sugu na uongozi wa Mj Records hali iliyozua maswali ya kuvunjika kwa...

WEMA AUFUNGUKIA UGOMVI WAKE NA AUNT

wema sepetu899
Staa wa filamu Bongo, Wema Sepetu amefungukia ugomvi ambao hutokea mara kwa mara na shosti wake ambaye pia ni muigizaji, Aunt Ezekiel usiingiliwe na mtu kwani wanapogombana tofauti zao wanazimaliza wenyewe na si mtu mwingine yeyote.

Wema alisema kuwa, yeye na Aunt ni watu waliopo karibu sana na wanaopendana hivyo inapotokea wanagombana huwa ni kitu kidogo kwao kwani...

CHID BENZ: DAWA ZA KULEVYA KWANGU ITABAKI HISTORIA

chid
Mkali katika muziki wa Bongo Fleva, Rashidi Makwiro ‘Chid Benz’, amesema matumizi ya dawa za kulevya yamempa mafunzo makubwa na itabaki kuwa historia kwake. Chid Benz alidai kwamba dawa za kulevya zimeharibu maisha yake kwa kiasi kikubwa na yamemdhalilisha yeye na...

FELLA: RUBBY ANA STRESS NDIYO MAANA HAJAONEKANA KWENYE VIDEO YA YAMOTO BAND

Ruby alikuwa ana ‘stress’ ndio maana alishindwa kutokea kwenye video ya wimbo SU wa Yamoto Band alioshirikishwa.

Meneja wa kundi hilo, Said Fella amesema kuwa hiyo ndio sababu aliyokuwa akipewa na Ruby. Amedai kuwa baada ya kuona kuwa Ruby amekuwa akitoa sababu hiyo kwa muda na hawakutaka asishiriki akiwa hana mood, walilazimika...

MR. BLUE: MIMI NDIYO NILIMTOA ALIKIBA BANGI ILINIFANYA NISHUKE KIMUZIKI

Mr. Blue amesema kuwa yeye ndio aligundua kipaji cha Ali Kiba na kuamua kumpeleka studio. Pia ameongeza na kusema kuwa alikuwa anavuta sana bangi ndio sababu kubwa iliyomfanya ashuke kimuziki.

Tazama Video Hapa Akifunguka:

Watch Here 

GIGGY MONEY ATANGAZA KUMUACHA MWARABU WAKE SABABU YA UBAHILI

VIDEO Queen asiyeishiwa vituko, Gift Stanford ‘Gigy Money’ amethibitisha kuwa yupo mbioni kumpiga kibuti bwana’ke mwarabu endapo ataendelea kuwa bahili, kwani kwake yeye hakuna mapenzi isipokuwa anachojali ni hela tu.

Akichonga na Mwandishi, Gigy Money alisema katika maisha yake hapendi mwanaume bahili wala asiye na fedha hivyo kwa kuwa mwarabu huyo ambaye awali alikuwa akimpatia hela nyingi, na sasa...

Wednesday, June 29, 2016

FID Q AUELEZEA USHINDI WA BLACK COFFEE ASEMA KUNA HIT "SONGS" NA BEST "SONGS"


13408916_563958783784867_421936358_n
Fid Q amesema kilichowafanya watu washangae ushindi wa Black Coffee kwenye tuzo za BET mwaka huu na kuwashinda waliokuwa wakitarajiwa zaidi kushinda kwenye kipengele cha Best International Act: Africa, ambao ni Wizkid, Diamond au AKA, ni kutokujua kuwa kuna tofauti kubwa kati ya ‘hit songs na best songs.’

“Hizi awards nyingi zinachaguaga best song sio hit song, nikimaanisha ya kwamba Prakatatumba ile ni hit song lakini sio...

Watch & Download: Msaga Sumu ft Dogo Janja_Unanitega Shemeji [Official Video]


Watch Here

HADITHI: NYUMA YA MACHOZI (sehemu ya kumi) 10



MTUNZI: Ally Mbetu ‘Dr Ambe’
ILIPOISHIA:
“Jimmy, mzigo wako huu hapa, hizi ni laki na nusu, hamsini za kusafishia na laki moja adivansi ukileta picha zangu nakumalizia laki na nusu. Ila kuna zawadi yako kubwa kama utakuwa msiri, kuna kazi nyingine ya milioni moja.”
“Wacha!”
“Wewe tu kuonesha uaminifu.”
“Basi dada kesho saa nne nakuletea mzigo wako, andaa fedha yangu tu.”
“Hakuna tatizo, tutaonana kesho, lakini chonde chonde siri hii asijue mtu yeyote.”
“Nakuhakikishia siri hii itabakia kwa watu wawili mimi na wewe tu.”
“Haya, usiku mwema.” SASA ENDELEA...

Kilole aliagana na Jimmy na kurudi ndani, alipofika kitandani alivua nguo zote na kujilaza pembeni ya Kinape. Alfajiri kilevi kilipomwisha Kinape alishtuka...

COMMING SOON!! Lady JayDee_Sawa Na Wao


Baada ya Ndi ndi ndi kufanya vizuri Soon!! Lady JayDee - Sawa na Wao itatoka siku ya  Monday, July 4 2016

Download: Quick Rocka ft Chin Bees_Mwendo Kasi


Download

SAUTI SOL: MAMBO YA DIAMOND NA ALIKIBA NI SIASA YA TANZANIA HATUONI SHIDA KUFANYA NAO KAZI WOTE

Member wa kundi la Sauti Sol, Savara amesema kufanya kazi na Alikiba haimaanishi kuwa wanamkubali zaidi kuliko Diamond. Kundi hilo lilifanya wimbo Unconditionally Bae na Alikiba uliofanya vizuri. “Mambo ya Alikiba na Diamond hiyo ni siasa ya Tanzania,” Alidai member wa kundi hilo.

Savara amekiambia kipindi cha Super Mega cha Kings FM kinachoendeshwa na Divine Kweka aliyeuliza iwapo kundi hilo linaona kuwa uimbaji wa Alikiba unaendana zaidi na mtindo wao kuliko wa Diamond.“Mimi ni msanii, yule ambaye...

MR. BLUE: MBOGA SABA NI HABARI KUBWA

mr blue
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Mr Blue amesema hajawahi kupata mapokezi mazuri katika muziki wake kama aliyoyapata katika video yake mpya ya wimbo ‘Mboga Saba’ Akiongea Jumatatu hii, Mr Blue amesema kuna vitu vingi vimechangia kazi hiyo kuwa kubwa kwa muda mfupi.

“’Mboga Saba’ hii ni kazi ambayo imefanya vizuri zaidi kwa muda mchache kuliko ngoma zangu zote, mara nyingi nyimbo zangu zinaanza...

TID: MIMI NI MTOTO WA KISHUA

tid32
Msanii TID ameamua kuwajulisha watu siri ya maisha yake, hususan wale wanaomchukulia poa kuwa amechoka, lakini si kweli. Akiongea kwenye mahojiano TID maesema tangu utotoni mwake amelelewa kwenye...

Watch & Download: Yamoto Band ft Ruby_Su [Official Video]


Watch Here

JENNIFER HUDSON ASAIN RECORD DEAL NA EPIC RECORDS

Baada ya kufanya perfomance maalum ya kumuenzi  Prince ,mkongwe wa muziki wa soul, perfomance aliyofanya wakati wa utoaji wa tuzo za BET zilizofanyika jumapili ya June 26-2016, staa wa miondoko ya Pop na R&B Jeninifer Hudson amesaini record deal na Epic Records, miongoni mwa...

Download: Cjamoker ft Zadii x P-The Mc_Kama Nanii


Download

Download: Linex ft Christian Bella_Hewala


Download

Download: Fred Swagg_Bendera


Download

Download: Q Chilla ft Mb Dog, Amour, Kidjanito x Meddy_Sohard


Download

Download: Baghdad_Foleni


Download

Download: Mesen Selekta_Kisingeli


Download

JIKE SHUPA AMPA MAKAVU SHILOLE


Mwanadada aliyefanya vizuri kama Video Queen wa wimbo wa msanii Nuh Mziwanda wa Jike Shupa aitwaye Zena Abdallah, ambaye anapenda jina lake la kisanii kama Jike Shupa, ameibuka na kudai kuwa ‘pacha’ wake, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ ni mchafu.
Akizungumza  katika mahojiano rasmi, msichana huyo alisema hapendi na anakasirishwa sana kuona watu wakimfananisha na staa huyo wa muziki, akidai hafanani naye kwani yeye ni mzuri na...

DOGO JANJA AWAPASOMO WANAOMBEZA DIAMOND

Msanii wa muziki wa Hip Hop kutoka Tip Top Connection, Dogo Janja amewataka mashabiki katika mitandao ya kijamii kuacha kuandika maneno ya kumbeza Diamond Platnumz baada ya kukosa tuzo ya BET na kuchukuliwa na Black Coffee kutoka Afrika Kusini.

Rapper huyo ambaye ameachia remix ya wimbo ‘My Life’ hivi karibuni akiwa amemshirikisha Radio & Weasel kutoka Uganda, ameiambia Bongo5 kuwa hatua aliyoifikia Diamond kimataifa ni...

Download: Kleyah_Sioni


Download

BARAKAH DA PRINCE AFUNGUKIA UJAUZITO WA NAJMA

Msanii mwenye ‘title’ kubwa kwa sasa ndani ya ardhi ya JPM, Barakah Andrew ‘Barakah Da Prince’ amekanusha juu ya tetesi zinazoendelea kuwa mpenzi wake Najma ni mjamzito na kwamba ujauzito huo ndiyo unaomfanya yeye kushindwa kuachia kazi nyingine.

Akizidi kufungukia tetesi hizo Barakah aliongeza kusema kuwa alipanga kuachia kazi mwanzoni mwa Julai lakini ameshindwa baada ya kupata...

ZARI: MSINIFANANISHE NA MAL*YA AMBAO HAWAJAWAHI KUINGIA LEBA

Nani amemchokoza Zari? Kwasababu kwa kile alichokipost kwenye mtandao wa Snapchat inaonekana ameguswa pabaya na amemind! Najua unajiuliza kwanini hajapost Instagram – ni kwasababu kwa alichokiandika, povu lake lingekuwa la haja! Snapchat ya kishua, mastaa wako huru kusema chochote na...

Monday, June 27, 2016

HADITHI: NYUMA YA MACHOZI (sehemu ya tisa) 09


MTUNZI: Ally Mbetu ‘Dr Ambe’
ILIPOISHIA:
“Jimmy ukiifanya kazi kwa ufanisi nitakupa laki mbili.” “Utani huo sister!”
“Sina utani kwa jambo nitakalo kuahidi.”
“Sawa, wacha nikuache uendelee na mambo mengine.”
Jimmy aliondoka na kumuacha Kilole akitengeneza nyumba kwa ajili ya sherehe ya kutengeneza ya birhtday yake. Sebule aliipamba na kupambika ikawa katika muonekana wa kupendeza.
SASA ENDELEA...
*******
Majira ya saa mbili usiku kila kitu kilikuwa kimepangwa sehemu yake, Kinape na mpenzi wake nao walikuwepo kwenye sherehe ya kuzaliwa kwa Kilole.
Ilikuwa sherehe iliyozuka kama uyoga, ule ulikuwa mpango...

TAZAMA BAADHI YA PICHA ZA RED CARPET YA BET

Watanzania Diamond Platnumz na Millen Magese ni moja ya mastaa walipoendeza zaidi kwenye Red carpet ya tuzo za BET 2016 zilizofanyika usiku wa jana huko Los Angeles Marekani. Tazama hapa...

NAY WA MITEGO KUWATAMBULISHA ANAO WASIMAMIA

Msanii wa Hip Hop, Nay wa Mitego amepanga kuwatambulisha rasmi wasanii ambao anawasimamia chini ya label yake ya ‘Free Nation 966′. Nay wa Mitego ambaye amedai kuwa yeye ndio msanii wa kwanza kabisa kuanza kuwasimamia wasanii wengine alifunguka hivi karibuni kuwa...

BAADA YA KUKOSA PENATI MESSI ATANGAZA KUSTAAFU SOKA

Baada ya Chile kutwaa taji la Copa America kwenye mchezo wa alfajiri ya ya kuamkia Jumatatu ya  June 27 kwa  kuifunga Argentina kwa changamoto ya mikwaju ya penati huku nahodha na mfungaji bora wa muda wote wa Argentina Lionel Messi akikosa  penati ikiwa ni mara ya pili ndani ya miaka miwili mfululizo.

Argentna ikipoteza mchezo wa fainali ya Copa America mbele ya Chile ‘La Roja’,hatimae mshambualiaji huyo wa Barcelona ameamua kuachana na timu yake ya taifa kwa kutangaza...

HII NDIYO ORODHA KAMILI YA WASHINDI WA TUZO ZA BET 2016

Beyonce ameonyesha thamani yake kwa kuchukua tuzo tano za BET zilizofanyika usiku wa Juni 21 kwenye ukumbi wa Microsoft Theater, Los Angeles.

Queen Bey amefanikiwa kuibuka na tuzo hizo ikiwemo ya Best Female R&B/Pop Artist, Video of the Year, Coca-Cola Viewers Choice Award, Centric Award huku wasanii wengine waliofanya vizuri kwenye tuzo hizo ni...

MKUBWA NA WANAWE WATOA MSAADA HOSPITALI YA TEMEKE


Mkubwa-ba-Wanawe
KITUO cha kuvumbua na kuendeleza vipaji vya muziki cha Mkubwa na Wanawe, kimetoa msaada wa vifaa vya tiba na usafi, dawa za meno, sabuni, maji na juisi kwa wagonjwa waliolazwa katika Hospitali ya Temeke, Dar es Salaam. Said Fella, alisema wameamua kufanya hivyo kutokana na...

BIFU LA WAKONGWE TID NA DULLY SYKES LAZIDI KUSHIKA KASI

Akiongea kwenye mahojiano hivi karibuni, TID amesema Dully Sykes hakupenda kitendo cha Joh Makini kuwepo kwenye collabo yao ya wimbo wa confidence.

“Kwanza ile ngoma mwenyewe ndio alitaka kuwepo baada ya kuisikia, akasema mnyama hii ngoma kali naomba niweke sauti na mimi, nikamkubalia tukarekodi, lakini alivyokuja kusikia Joh Makini yupo akanipigia simu tena usiku, akaanza...

DIAMOND AJIPANGA UPYA BAADA YA KUKOSA TUZO MTV HII NDIYO KAULI YAKE

Kwenye mashindano lazima patakuwa na mshindi wa pili na watatu na kukubali kuanguka ni kawaida, ila kuamka baada ya kuanduka ndio kazi yenyewe ambayo kwa sasa Diamond anafanya kwa kutoa kazi ambayo yeye anaimani ni bora zaidi baada ya kupoteza tuzo ya BET kwa msanii Black Coffee wa Afrika Kusini. 

Haya maneno ya Diamond kuhusu wimbo wake mpya aliyoandika Twitter: "Haya Ongeeni Vizuri na waganga wenu Baada ya siku...

Saturday, June 25, 2016

Download: M Rap x Young D_Unazungumzia Nini


Download

KAULI YA TID BAADA YA BILL NASS KUTIMKIA LABEL YA LFLG

Msanii wa muziki na Mkurugenzi wa kundi la Radar Entertainment, TID ameingia kwenye mgogoro na rapper Billnas aliyekuwa member wa kundi hilo kabla ya kutimkia katika label mpya ya ‘LFLG’.

Mapema mwaka huu Billnas aliiambia Bongo5 kuwa aliondoka Rada bila matatizo na mtu yeyote. Akiongea na Clouds Fm, TID amedai Billnass amesahau alikotoka na hatoi...