Pages

Subscribe:

Sunday, June 19, 2016

ADELE ASHINDA JUMLA YA TUZO 105 KATI YA 211 ALIZO WAHI KUSHINDANIA


Mwana muziki (Mtunzi na Mwimbaji) kutoka nchini Uingereza Adele Laurie Blue Adkins aliye zaliwa 5 May 1988 (age 28) ktk mji wa Tottenham, London, England, Tangu aanze muziki Adele amefanikiwa kushinda Tuzo 105 kati ya Tuzo 211alizo wahi kutajwa kushindania (Kuwa Nominated).

0 comments:

Post a Comment