Pages

Subscribe:

Tuesday, June 14, 2016

BAADA YA RICH MAVOKO SASA CHID BENZ KUTUA WCB

Msanii maarufu wa miondoko ya kufoka/kurapu Rashid Abdallah Makwiro al maarufu kama CHID BENZ amejiunga rasmi katika lebo ya Wasafi Classic Baby WCB Iliyo chini ya mwanamuziki machachari kabisa Diamond platnumz.

Taarifa hizi zimepatikana kupitia mtu wa karibu sana wa Babu Tale. Na... pia kituo cha kuaminika cha redio yaani CloudsFM kimetaarifu.

0 comments:

Post a Comment