Pages

Subscribe:

Monday, June 13, 2016

COLLABO YA DIAMOND NA PAPA WEMBA KUTOKA RASMI TAREHE HII

Ni mwezi kadhaa imepita toka tumempoteza Papa Wemba ambae alikuwa ameshafanya Collabo na Diamond Platnumz kutoka Tanzania. Hizi ni taarifa njema kwa wapenzi wa muziki wa Hayati Papa Wemba na Wapenzi wa Muziki wa Diamond Platnumz, Taarifa zilizonifikia ni kuwa tarehe... 24 mwezi huu Collabo hii itaachiwa. Endelea kutembelea.

0 comments:

Post a Comment