Pages

Subscribe:

Friday, June 17, 2016

VANESSA ATAJWA KUWANIA TUZO ZA NIGERIA ENTERTAINMENT AWARDS 2016

Vanessa Mdee ni msanii pekee wa Tanzania aliyechaguliwa kuwania Tuzo na Nigeria, Nigerian Entertainment Awards 2016 kwenye kipengele cha Msanii Bora wa kike wa Afrika/ Nje ya Nigeria ‘African Female Artist (Non Nigerian / Africa)’
Vanessa atachuana na wasanii wengine kama...
Efya (GH), Lira (SA), MZ Vee (GH), Sheebah Ndiwanjawulo (UG), Adiouza (SN), Victoria Kimani (KQ), Knowless Butera (RW).
Msvee
Huku upande wa Msanii Bora wa kiume wa Afrika/ Nje ya Nigeria kundi la wasanii wa Kenya, Sauti Sol linachuana vikali  na wasanii wengine kama Stonebwoy na Sarkodie wote wa wa Ghana.

0 comments:

Post a Comment