Pages

Subscribe:

Sunday, June 19, 2016

2FACE (2BABA) APATA HESHIMA BAADA YA KUPEWA MTAA NCHINI NIGERIA


Mwana muziki mkongwe na maarufu nchini Nigeria amejikuta akitunukiwa heshima kubwa nchini kwao baada ya mtaa mmoja jijini Lagos Nigeria kubatizwa jina la staa huyo, Mtaa huo umeitwa Innocent Idibia Street. 2Face ameweza kushea video ktk mtandao wa Instagram akiwa ktk kibao cha mtaa huo na kutoa shukrani zake za dhati. Kwenye video hiyo ameandika maneno yasemayo...
“Yes ooo! Innocent Idibia street. One love and a big thanx 2 Haven Homes for the honour. Now you know where to find me”: 

Tazama video hapa chini.inocent Idibia Street

Watch Here

0 comments:

Post a Comment