Pages

Subscribe:

Thursday, September 29, 2016

LULU AMPA MBWA WAKE JINA LA MTOTO WA DIAMOND

lulu-diva-1 
Video queen matata Bongo, Lulu Abbas ‘Lulu Diva’ anadaiwa kumdhalilisha mtoto wa Mbongo Fleva anayefanya vizuri kwa sasa, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Latifa ‘Tiffah’ kwa kumuita mbwa wake jina Shikiki, ambalo pia ni jina jingine la...

RIHANNA AZINDUA NGUO ZAKE ZA FENTY FOR PUMA 2016

Rihanna amezindua collection ya pili ya nguo zake za ‘Fenty for Puma’ kwenye show ya ‘Paris Fashion Week’ 
Pia amesema:
“It’s a dream for me to be able to present my second collection of Fenty x Puma by Rihanna in Paris,” Riri alifunguka “I approached this season very differently and felt the theme and concept was best suited for one of my favorite cities, Paris.” 

Tazama picha za nguo hizo hapa...

YOUNG KILLER: NGOMA YANGU MPYA INAYO KUJA NI BEST KULIKO

young-killer
Mkali wa kuchana, rapa Young Killer Msodoki amesema ameamua kuwafurahisha mashabiki wa muziki wake kwa kufanya baadhi ya mabadiliko katika nyimbo zake. Akiongea wiki hii, rapa huyo amesema wimbo wake mpya ambao atauchia hivi karibuni utakuwa ni moja kati ya nyimbo zake bora.

“Labda niwaambie kitu kimoja hii ni exclusive, ngoma yangu ambayo nitakuja kuitoa baada ya hii ‘Mtafutaji’ ndo ngoma yangu best kabisa,” alisema Young Killer. Aliongeza,”Sio best kuliko zote zilizopita, lakini hii inayokuja ni best kwa sababu ni ngoma kali kiukwei yaani...

MSANII WA BONGO FLAVA APANDISHWA KIZIMBANI BAADA YA KUACHIA WIMBO WA UDIKTETA UCHWARA

1
Mwanamuziki wa Bongo Fleva Fulgency Mapunda maarufu Mwana Cotide amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam kwa tuhuma za kuimba na kusambaza wimbo wenye maudhui ya kichochezi.

Mwana Cotide ameiamba wimbo wenye jina “Dikteta Uchwara” ambao aliusambaza kupitia mtandao wa YouTube kitu ambacho kinavunja sheria ya makosa ya mitandao.
Akisoma mashtaka hayo, mwanasheria Derrick Mukabatunzi alisema kuwa Mwana Cotide na...

BARNABA: EATV AWARDS SIYO JAMBO LA KUDHARAU


Msanii Baranaba Elias amewataka wasanii wenzake kutodharau zoezi la uchukuaji fomu na kushiriki EATV AWARDS, na kusema ni kitu cha msingi kwao. Akizungumza na East Africa Television, Barnaba amesema baadhi ya wasanii wamekuwa wakizichukulia poa tuzo hizo kuwataka kuacha kuzipuuza na badala yake wachangamkie zoezi la uchukuaji wa fomu za kushiriki katika tuzo hizo.

"Mi nishachukua najaza sasa hivi nadhani wiki ijayo nitarudisha, wasanii wenzangu wasidharau, wakachukue fomu za kushiriki tuzo, hii ni fursa kwetu", alisema Barnaba. Barnaba aliendelea kusema kuwa...

NUH MZIWANDA: SIFANYI KAZI NA MENEJA ANAYE TAFUTA UMAARUFU


Msanii Nuh Mziwanda ambaye hivi karibuni kulikuwa na tetesi za kuzinguana na uongozi wake akiwemo Petit Man ambaye anamsimamia, amesema ameamua kuachana kabisa na uongozi huo kwa mapenzi yake mwenyewe. Akizungumza, Nuh Mziwanda amesema ameamua kufanya hivyo kwani hana muda wa...

NAY WA MITEGO: WASANII WENGI BONGO NI MABOYA

Rapa Nay wa Mitego ambaye kwa sasa anafanya vyema na ngoma yake 'Saka hela' amefunguka na kusema kuwa amegundua kwenye muziki wa bongo fleva saizi kuna wasanii wengi maboya akimaanisha washamba. Nay wa Mitego alisema hayo na kudai mwanzo walikuwepo wasanii wawili maboya lakini saizi amegundua wapo wengi sana kwenye muziki wa Bongo Fleva.

"Mwanzo walikuwepo kama wawili hivi lakini saizi nimekuja kugundua wapo wengi sana ni maboya, inawezekana wapo wanaoniona mimi boya lakini uboya wangu mimi una faida, wapo...

Download: Sam Wa Ukweli_Kisiki


Download

Download: Rich Mavoko ft Raymond_Marry Me (Slow Version)


Download

Download: Aslay_Kidawa


Download

ALBUM YA STAMINA MT ULUGULU IMEINGIZA MILION 45


Stamina2
Msanii wa muziki wa hip hop kutoka Morogoro, Stamina amesema tayari ameshafunga mahesebu ya mauzo ya albamu yake ya ‘Mt Uluguru’ ambayo aliisambaza nchini nzima.Rapper huyo ameiambia Bongo5 kuwa mpaka anafunga duka la kuuza albamu hiyo tayari alishauza nakala 9,000 kwa bei ya tsh 5000 na chache kwa tsh 10,000.

“Niliuza nakala 9,000,” alisema Stamina. “Kilicho nisaidia ni uzinduzi wangu wa Morogoro, pia niwashukuru mawakala wangu kutoka katika vyuo mbalimbali nchini, kwa sababu wao walikuwa...

DULLY SYKES ATAJA WASANII ALIOWASAIDIA NA WALIO LIPA FADHILA


dully_2_0
Msanii mkongwe katika muziki wa Bongo Flava, Dully Skyes amesema katika wasanii wote ambao aliwahi kuwasaidia kimuziki mpaka wakafanikiwa, ni watatu tu ndio ambao wamekuwa wakilipa fadhila kwake na ambao wamekuwa wakimpigania.

Dully Skyes alisema hayo kwenye kipindi cha Planet Bongo na kudai amewasaidia wasanii wengi lakini wengi wao wanaishia kumuita tu ‘brother’ lakini si Diamond Platnumz...

SHERIA YAPITISHWA WANAO ONESHA MAKALIO MIEZI SITA JELA

Kuonyesha makalio hadharani sasa ni uhalifu katika jimbo la Victoria nchini Australia.
Australia imeptisha sheria ya kupinga kitendo icho kinachojulikana kama ”mooning” kwa lugha ya kiingereza,ambapo adhabu yake ni hukumu ya...

VANESSA MDEE AFAFANUA TETESI INAYO MKABIRI KUCHEPUKA NA TREY SONGZ

Staa wa Marekani, Trey Songz alikua Afrika Mashariki kwa ajili ya Coke Studio ambapo ameshirikiana na mastaa wa Afrika ikiwemo Vanessa Mdee.
Kumekuwa na picha na video za utata za staa huyo wa Marekani na Vee Money zikisambaa kwenye mitandao na watu wamekuwa wakidai kuwa...

BAADA YA KUKAUSHIA BIRTHDAY YA ZARI SASA MAMA DIAMOND AMPONGEZA WEMA KTK SIKU YA KUZALIWA

September 28, 2016 ni siku ambayo anazaliwa mrembo na mwigizaji wa Filamu, Wema Sepetu ambapo pamoja na watu wengi kumtakia kila la kheri  yupo pia Mama mzazi wa Diamond Platnumz ambaye kwenye akaunti yake ya Instagram amepost picha ya Mama yake Diamond akaisindikizia na maneno haya...

HUDDAH MONROE ANASA KWENYE PENZI LA MCHAGA

Haya jamani yule Sosholaiti wa Kenya kazama kwa Mchaga wa Kishumundu (Sina uhakika). Kaka huyo ajulikanaye kama Danford Kessy amemteka mrembo huyo ambaye amekiri kuwa ni muda mrefu amekuwa akijilinda lakini sasa amefika bei kwa Mkaka huyo Handsome.

Tazama Picha ya mwanaume huyo hapa...

AGNESS MASOGANGE AANIKA MAJIBU BAADA YA KUPIMA HIV

post-feature-image
Baada ya Mrembo Tunda kuanika Majibu yake ya Ngoma tukayaona...Agnes Masogange nayeye awafunga midomo walikuwa wakimsema ana Ugonjwa...Aanika wazi majibu yake. Imethibishwa kuwa...

Saturday, September 24, 2016

DAYNA NYANGE AJA NA MWONEKANO WA TOFAUTI TAZAMA PICHA ZAKE HAPA

Dayna Nyange ameamua kuwafurahisha mashabiki wake kwa kuachia picha hizi za kuvutia. Tazama picha kadhaa hapa chini...

SAIDA KAROLI KUNUFAISHWA NA DIAMOND

Saida Karoli atanufaika na ‘Salome’ wimbo mpya wa Diamond ambao una vionjo kutoka kwenye wimbo wake wa ‘Chambua kama karanga’ Diamond amesema kuwa mwanamuziki huyo mwongwe wa nyimbo za asili ana asilimia 25 kwenye pesa ambazo wimbo huo utakuwa unaingiza.
 
“Kitu tulichokifanya kabla ya kurealise wimbo, tulizungumza na uwongozi wake tukawaambia tunafanya ichi,ichi na ichi, kuna kiasi pia tukakitoaili kiende kwake afu tukampa  25 percent ya publishing kila...

KAULI YA ZARI BAADA YA KUZAWADIWA MJENGO NA DIAMOND

14360086_306931306350181_1439478591564808192_n-1
Tyga alimpa Kylie Jenner gari la kifahari, lakini Diamond kampa Zari mjengo! Ndio maana raia huyo wa Uganda anasema, wenye wivu?  Soma alicho kipost hapa...

COUNTRY BOY: KUNA UWEZEKANO WA KUMRUDISHA YOUNG DEE MTU CHEE


14073252_334790183519917_1715470813_n
Rapper Country Boy amedai kuwa kuna uwezekano wa kundi la Mtu Chee kurejea tena likiwa na Young Dee. Mara ya mwisho Young Dee alidai kuwa hawezi kurudi kwenye kundi hilo. Akiongea na mtangazaji wa kipindi cha Supa Mega cha Kings FM ya Njombe, Prince Ramalove, Country Boy amesema anawasiliana karibu kila siku na Dee.

“Mtu Chee ipo na inarudi upya muda wowote, Young Dee ni mwanetu hatuna matatizo naye, Stamina hana matatizo, mimi sina tatizo, tunajaribu kupiga story kuangalia...

STAA WA NIGERIA AKI AFUNGUKIA WIMBO MPYA WA DIAMOND "SALOME"


chinedu-1
Salome ya Diamond Platnumz inaelekea kumshangaza staa huyo kwa mafanikio makubwa inayoendelea kuyakusanya. Baada ya video yake kuvutia views milioni 1 ndani ya siku mbili tu tangu itoke, wimbo huyo umeyagusa masikio ya mtu maarufu kwenye filamu za Nigeria, Chinedu Ikedieze anayejulikana zaidi kama Aki kwenye filamu zake.

Akicomment kwenye post ya Diamond Instagram, Ikedieze amesema kuwa haelewi kinachoimbwa kwenye wimbo huo lakini...

Watch & Download: Abela Music ft Izzo Bizness_Balaa (Official Video)


Watch Here

watch & Download: Tox Star ft Barnaba_Chillax (Official Video)


Watch Here

KAMA ULIKUWA HUJUI HAWA NDIYO WATOTO WA SHILOLE

Kwa wale ambao mlikuwa hamuwajui watoto wa Shilole aka Shishi basi hawa ndio watoto wake.

VANESSA MDEE AZUNGUMZIA COLLABLE YAKE NA TREY SONGZ

Ni Headlines za Vanessa Mdee ambae amekuwa ni moja kati ya wasanii wa Africa waliochaguliwa kurekodi wimbo na mshindi wa Grammy na mwimbaji wa RNB nchini Marekani, Trey Songz kupitia msimu wa 4 kipindi cha Coke Studio Africa.

Akizungumza na millardayo.com & Ayo TV  Vanessa Mdee aliyaongea haya:
 
Niko Kenya nikifanya msimu wa Coke Studio Africa ambapo msimu huu tumemkaribisha msanii wa kimarekani Trey Songz kuja kufanya collaboration na...

DIAMOND PLATNUMZ AWEKA REKODI NYINGINE YOUTUBE

Najua inaweza kua sio jambo geni ukisikia wimbo wa msanii kutoka Marekani umetazamwa mara nyingi kupitia Youtube, Lakini leo hii niko na hii kutoka Tanzania mtu wangu, Diamond Platinumz amefanikiwa kuweka rekodi ya kufikisha Views zaidi ya Milioni moja na nusu kwenye mtandao wa Youtube baada ya Video ya hit single ya Salome kuwekwa ndani ya siku nne tu. 

Diamond Platinumz anafuatana kwa views nyingi na wasanii mapacha kutoka kundi la PSquare na video yao ya Bank Alert iliyotazamwa zaidi ya...

Watch & Download: Joti_Hainaga Ushemeji [Video Cover]


Watch Here

Watch & Download: Juma Nature_Mtumba [Official Video]


Watch Here

JOKATE: BADO NAFANYA MUZIKI ILA NAHITAJI MANAGEMENT

Mwanamitindo na mwanamuziki nchini Tanzania, Jokate Mwegelo ambaye amekuwa kimya katika masuala ya muziki kutokana na kuwa busy na biashara, amesema bado anafanya muziki. Jokate ambaye wimbo wake wa mwisho kuutoa ulikuwa ‘Leo Leo’ aliomshirikisha Ice Prince kutoka Nigeria, alikuwa akihojiwa Ijumaa hii.

“Muziki bado nafanya ila bado nahitaji menejimenti ambayo ipo vizuri,” alisema. “Sitaki kufanya muziki niwe kama najaribu, nahitaji kuwa na timu ambayo tutafanya kazi ya serious kama ilivyo kwenye brand ya...

NAY WA MITEGO: SHAMSA ALINIAMBIA ANAENDA KUOLEWA

Akizungumza katika kipindi cha XXL cha Clouds FM Ijumaa hii, Nay Wa Mitego amesema Shamsa ni ‘wife material’ hivyo anamtabiria kudumu katika ndoa yake.
“Ndoa ni kitu cha heri lakini sometime watu wanaweza wakaoana kwa kutafuta experience za ndoa zinakuwaje, watu wakioana inakuwaje, ukishapata experience kila mtu anaendelea kupuyanga,” alisema Nay. 

“Sasa mimi sijajua kama wao wanatafuta experience za ndoa ili kujua watu wakioana wanakuwaje” Aliongez, “Kwa jinsi ninavyomjua Shamsa ni mwanamke kweli, kwa sababu ni mwanamke ambaye anastahili kuwa mke kwa sababu amekaa...

SHILILOE CHUPU CHUPU WAE VIDEO QUEEN WA SALOME YA DIAMOND


Mwanadada mwenye mvuto kupita wote ndani ya gemu ya maburudani Afrika Mashariki na Kati ameendelea kugonga headlines za vyombo vya habari baada ya kusema Diamond platnumzs alitaka yeye ndio HAWE video Queen wa nyimbo ya Salome na walikubaliana kabisa.

Sema siku ya kushoot alipata zalula hivyo nafasi yake akamwachia hamisa mobeto. Ila anaamini hangekuwa yeye ndio video Queen basi video hiyo ya Salome ingepata...

Friday, September 23, 2016

Download: Ruby_Wale Wale


Download

WIMBO WA DIAMOND WAMKUNA WEMA SEPETU AJIREKODI AKIIMBA MANENO HAYA

Malkia wa filamu Wema Sepetu amekunwa na wimbo mpya wa Diamond Platnumz ‘Salome’ na kuamua kujirekodi video huku akiimba wimbo huo. Diamond alipost video instagram inayomwonyesha mwigizaji huyo akiimba wimbo ‘Salome’ huku akiandika ujumbe wa kuonyesha kufurahishwa na kitendo hicho.

“Hivi huku patakuwa ni kupatwa kwa nini? Tisha sana ‘Salome’ wake Idris Sultan full Video link in my BIO and @rayvanny Bio,” aliandika Diamond kupitia instagram. Hatua hiyo huwenda...

DIAMOND ATUPIA KIJEMBE KWA EX WA ZARI BAADA YA KUNUNUA MJENGO S.A

Mwanamuziki Diamond ametupa Jiwe Gizani ambalo ninaonekana kumlenga mume wa zamani wa Zari Hassan. Lisome mwenyewe Hapa chini:

Diamondplatnumz:
They are busy bragging them selves that they are Rich while their Kids staying in the Renting House and now a person wich they are daily abusing and saying that he's broke & Poor Bought a House, so that their Kids can have a better life, as they always wish on...

AIKA NA NAHREEL WATAJWA KUWANIA MTV MAMA


Kundi la Navy Kenzo ambalo linaundwa na Aika na Nahreel limefanikiwa kuingia katika Mchakato (Nomination) wa kutafuta washindi wa MTV Mama Awards 2016 Kwenye kipengele cha Group Bora la Muziki Afrika,
Nimeanza na kuandika Hard Work Pays Kwasababu ni dhahiri kuwa hawa jamaa wamefanya kazi hasa katika miaka ya karibuni katika kazi zao za muziki huu wa Bongo Flava Hapa Tanzania, Ukiangalia...

MENEJA AZUNGUMZIA BIFU LA HARMONIZE NA RAYMOND

post-feature-image
Meneja anayewasimamia wasanii wa WCB wakiwemo Harmonize na Raymond, Ricardo Momo, amekanusha tetesi kuwa mafahari hao wamekuwa wakivimbiana na kwamba kila mmoja anajiona bora.

Akiongea na mtangazaji wa kipindi cha Supa Mega cha Kings FM ya Njombe, Prince Ramalove, Ricardo amedai kuwa wawili hao wanaishi kwa upendo mkubwa. “Hayo ni maneno tu, sisi tunaishi kama ni...

Sunday, September 18, 2016

Download: Diamond Platnumz Ft. Rayvanny - Salome (Club Version).mp3


Download

Diamond Platnumz_ft Rayvanny_Salome (Traditional Version) mp3


Download

Watch & Download: Diamond Platnumz ft Raymond _Salome [Oficial Video]



Watch Here

NAH REEL: THE INDUSTR INA PROJECT NYINGI NA BILLNAS

billnas
Msanii na mtayarishaji wa muziki wa The industry, Nahreel ameweka wazi kuwa label ya The industry ina project nyingi na rapper Billnas anayefanya vizuri na wimbo ‘Chafu Pozi’. Rapper Billnas hivi karibuni aliwapa taarifa mashabiki wake ujio wa project nyingi kutoka The industry.

Akiongea Jumamosi hii, Nahreel amesema kwa sasa wana kazi nyingi na rapper huyo.
“Yeah Billnas na The Industry kuna kazi nyingi zinakuja, nisingependa kuziweka wazi kwa sasa kwa sababu ni...

SAY MY NAME YA SHISHI YASHIKA CHAT SOUNDCITY


14359535_319499878397559_205625894_n
Shilole ameitimiza ndoto waliyonayo wasanii wengi wa Bongo Flava. Wimbo wake ‘Say My Name’ aliomshirikisha Barnaba, umekamata nafasi ya kwanza kwenye chati za muziki wa Afrika Mashariki kwenye kituo cha Soundcity. 

“Mungu akiwa upande wangu hakuna cha kunikatisha tamaa,” ameandika kwenye Instagram kufurahia hatua hiyo. “Asante sana @soundcityafrica asanteni mashabiki kwa...

RAYMOND AWEKA HADHARANI MJENGO ANAO ISHI

rayvany

Ndoto ya wasanii wengi ni kupata maisha bora, nyumba mzuri pamoja na magari ya kifahari. Mkali wa wimbo ‘Natafuta Kiki’ Raymond ‘Rayvanny’ ameonyesha mafanikio aliyopata ndani ya muda mfupi. Muimbaji huyo ambaye anajiandaa kwenda kwenye show nchini Burundi akiwa na wasanii wenzake wa WCB, ameonyesha nyumba anayoishi na...

DIAMOND KUACHIA WIMBO MPYA MUDA WOWOTE


Diamond
Huwenda Diamond Platnumz anataka kutimiza ahadi yake ya kuachia wimbo mpya baada ya wimbo wake ‘Kidogo’ aliowashirikisha wasanii wa kundi la P Square kufikisha views 4,764,307 katika mtandao wa YouTube.

Uongozi wa Diamond Platnumz uliahidi kuwa endapo video ya wimbo ‘Kidogo’ ikifikisha views milioni 5 katika mtandao wa Youtube basi watatoa zawadi kwa mashabiki wao kwa kwa kuachia wimbo mpya. Jumapili hii Diamond kupitia twitter ameandika...

BARAKA DA PRINCE AKANUSHA ISHU YA MR BLUE KUMPIGIA SIMU NAJ

 
Msanii Baraka The Prince amezungumzia sakata la mpenzi wake Najma na Mr. Blue ambaye alikuwa mpenzi wake, na kusema tukio hilo halikuwa na ukweli wowote na hata kama lingekuwepo, hawezi kuzuia wawili hao kuwasiliana.

Akizungumza kwenye kipindi cha Bongo Fleva Top 20 cha East Africa Radio, Baraka amesema yeye hawezi kuzuia wawili hao kuwasiliana kwani wote ni...

Thursday, September 15, 2016

RUBY: NATAKA NISIMAME NA MASHABIKI ZANGU


Ruby alisema hayo kwenye kipindi cha eNewz na kudai kuwa yeye aliamua kubadili uongozi kwa sababu anataka kusimama yeye kama yeye kwenye muziki kwa kutegemea mashabiki wake, pia Ruby anadai Tanzania ukimchana mtu ukweli unaonekana wewe ni mkorofi au mgomvi.
 
"Unajua hata mtoto anapokuwa kwa wazazi inafika wakati anahitaji kuanza maisha yake mwenyewe, hivyo mtoto akiondoka kwa wazazi haina maana kuwa hauna wazazi 'No' wala haina maana kuwa umeondoka nyumbani kuna...

WASANII NA VIONGOZI WA WCB WAALIKWA NYUMBANI KWA RAIS MSTAAFU JK

Rais mstaafu wa awamu ya nne Jakaya Kikwete Jumatano hii aliwaalika wasanii wa label ya WCB pamoja na viongozi nyumbani kwake na kula nao chakula cha mchana.

JK ambaye ni mmoja kati ya marais ambaye ame-support sana wasanii wa muziki nchini, aliwaalika wasanii hao nyumbani kwake na kuzungumza nao mambo mbalimbali kuhusu muziki wao. Mmoja kati ya viongozi wa juu wa label hiyo, Sallam alimshukuru rais huyo kwa...

HATIMAYE FAIZA ALLY AWEKA WAZI HISIA ZAKE KWA MH SUGU

Faiza Ally Amefunguka haya Katika ukurasa wake wa Instagram:
Leo nimeamka akili yangu inawaza mapenzi tu... Mkatae mkubali mapenzi yana nafasi kubwa sana ktk maisha. Na mapenzi hayana baunsa...😅 Mimi nampenda sana baba mtoto wangu - Nina mpenzi yes lkn nampenda yeye zaidi - ana mpenzi Sawa lkn hainizui kuongea hisia zangu. Nachekwa Sawa lkn wanao nicheka hawako ktk maisha yangu Kwa hiyo sio...

DADA WA DIAMOND PLATNUMZ AKIRI KUPENDA PETIT MAN

Dada wa Diamond ameamua kufunguka ya moyoni na kudai anampenda sana mume wake Petit Man ambae walitengana kwa muda kutokana na kutokuelewa hapa na pale lakini kwa sasa inaonekana wameweka mambo sawa. Ameandika haya kwenye ukurasa wake

_esmaplatnumz
Baby dady mkimuona mwambieni mi Nampenda tuu ukiniuliza hata sijui... kuna wakati unaweza kufichaficha au kujionesha hupendi au ukajikaza usiseme unachojisikia kusema but mi naona bora...