Pages

Subscribe:

Wednesday, September 14, 2016

BEN POL AFANYA MONYO MASHINE RMX NA CHIDINMA


ben-pol1
Mkali wa muziki wa RnB Bongo, Ben Pol amesema anatarajia kuja na remix ya wimbo wake, Moyo Mashine akiwa na msanii wa Nigeria, Chidinma. Hadi sasa ‘Moyo Mashine’ umekuwa...
wimbo wa Ben Pol wenye mafanikio makubwa.
chidinmaekile-20160914-0002
Chidinma
Muimbaji huyo, amedai kuwa remix hiyo itakuwepo kwenye album yake mpya.

“Ngoma ambayo inakuja ni Moyo Mashine remix ambayo nimefanya na Chidnma kutoka Nigeria,” amesema. “Nilimsikilizisha nyimbo nyingi lakini aliupenda huo, nikaona sawa,” ameongeza.

“Na pia kuna nyimbo nyingine tena nimefanya naye muda wake ukifika nitauzungumzia huo wimbo. Na hizi nyimbo zote zitakuwa katika album yangu mpya ambayo nategemea itatoka baada ya mwezi Disemba.”

0 comments:

Post a Comment