Pages

Subscribe:

Saturday, September 10, 2016

LINAH ALIPIZA KISASI KWA KUMNYAKUWA MPENZI WA WEMA SEPETU

Kipindi cha Nyuma Linah sanga aliingia Bifu zito baada ya Kuibiwa Bwana na Wema Sepetu ambapo alilalamika sana kwenye vyombo vya habari hasa Radioni. Hivi karibuni Linah na Mpenzi wa Wema Sepetu Idriss Sultan wanaonekana kuwa na ukaribu usio wa kawaida kiasi kwamba inasemekati eti ni wapenzi wanapika na... kupakuwa kitendo ambacho kinaonyesha ni kama kulipa kisasi kwa Wema....!! Haya Tuache Movie liendeleeee tutawajuza zaidi kinachoendelea.

0 comments:

Post a Comment