Pages

Subscribe:

Monday, September 12, 2016

SURPRISE YA ALIKIBA JUKWAANI YAWAUMIZA UWONGOZI WA DIAMOND

Unakumbuka Fiesta mwanza wasanii wote watakao tumbuiza walitangazwa ila kuna msanii mmoja alitumbuiza kama bonus au surprise Hali hiyo ilijitokeza tena jana mjini mombasa ,mwanzo chama cha ODM kilitangaza Diamond atatumbuiza lakini baada ya show yake Alikiba nae alipanda...
kutumbuiza Uongozi wa diamond umeamua kurusha dogo upande wa pili kama ifuatavyo.

0 comments:

Post a Comment