Pages

Subscribe:

Monday, September 12, 2016

NISAMEHE YA BARAKA DA PRINCE FT ALIKIBA KUACHIWA KESHO

nisamehe-1111
Baada ya mashabiki kuisubiria kwa hamu collabo ya kwanza ya label mates wa Rockstar4000, Barakah Da Prince na Alikiba, sasa imethibitishwa kuwa wimbo wao ‘Nisamehe’ utaachiwa Jumanne, Septemba 13.Tarehe hiyo imethibitishwa na Barakah kupitia Twitter. Soma alicho kipost hapa...


barakah
Video ya ngoma yao ilifanyika wiki kadhaa zilizopita nchini Afrika Kusini.

0 comments:

Post a Comment