Pages

Subscribe:

Monday, September 12, 2016

PICHA YA BEN POL NA SNURA WAKIDENDEKA YAZUA MENGI





New couple in Town ndio naweza kusema kulingana na picha hiyo hapo juu ambayo inazunguka mtaani huku wengi wakijiuliza maswali kama ni kweli ama la…? 

Ikumbukwe Snura alishawahi kuandika na kukiri kuwa kuna Mwanamuziki mmoja wa Bongo Flava anamzimia kishenzi lakini hakumtaja jina…Sasa jibu limepatikana baada ya wawili hao kuonyesha picha wakidendeka bila chenga…
Soma comments za watu hapa chini walicho kisema

0 comments:

Post a Comment