Pages

Subscribe:

Friday, September 9, 2016

DIAMOND ATAJWA VIPENGELE VITANO KUWANIA TUZO ZA AFRIMMA

Afrima wametangaza orodha kamili ya wasanii wanaowania tuzo hizo huku jina la Msanii wa Bongo Fleva, Diamond likitokea kwenye vipengele vitano.
Viepengele hivyo ni pamoja na  Songwriter of The Year in Africa, Song of The Year in Africa, Artiste of The Year, Best Artist in Africa na Best Male Artist in Eastern Africa.

Watanzania wengine waliotajwa kwenye tuzo hizo ni pamoja na Alikiba anayewania cha Best Male Artist in Eastern Africa na Yamoto Band likitajwa kuwania kipengele cha...
Revelation of The Year.
Tazama orodha kamili,
afrima afrima1 afrima2 afrima3 afrima4 afrima5 afrima6 afrima7 afrima8 afrima9

0 comments:

Post a Comment