Pages

Subscribe:

Friday, September 23, 2016

DIAMOND ATUPIA KIJEMBE KWA EX WA ZARI BAADA YA KUNUNUA MJENGO S.A

Mwanamuziki Diamond ametupa Jiwe Gizani ambalo ninaonekana kumlenga mume wa zamani wa Zari Hassan. Lisome mwenyewe Hapa chini:

Diamondplatnumz:
They are busy bragging them selves that they are Rich while their Kids staying in the Renting House and now a person wich they are daily abusing and saying that he's broke & Poor Bought a House, so that their Kids can have a better life, as they always wish on...

Social Media. Happy Birthday Mama tee i hope you like our new South African House....Can't wait for your Big weekend in Zanzibar tomorrow....I love you So much mama tee, we ndio Salome wa Moyo wangu pekee @zarithebosslady 

😙🌷🎉🎂🎂🎉🌷 (Wanakazana kujisifu Matajiri Ilhali watoto zao wanaishi kwenye Nyumba zakupanga... halaf leo yuleyule wanaemtukana kutwa kwenye Mitandao kuwa Masikini, kajawa na shida, Kanunua nyumba kulekule kwao ili watoto wao waishi Maisha bora kama wanayoyatamani... Heri ya siku ya Kuzaliwa Mama tee wangu.... Nakupenda sana na unalifahamu hilo...natumai umeipenda Nyumba yetu hii mpya South Africa... nasubiria kwa hamu kusheherekea nawe siku yako hii kubwa kesho zanzibar.

0 comments:

Post a Comment