Pages

Subscribe:

Saturday, February 28, 2015

New Video: Hemed PHD_Far Away (Official Video)


Watch Here

AZAM FC WAPOKELEWA KIDIGITALI HUKO SUDAN

Hili ndilo basi ambalo El Merreikh wamewapatia Azam FC baada ya kuwasili Khartoum. WAWAKILISHI wa Tanzania katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Azam FC wamepata mapokezi ya ‘kigaidi’ mjini Khartoum, Sudan baada ya kuwasili usiku wa kuamkia leo kwa ajili ya mchezo na wenyeji, El Merreikh.

Download: Jack U ft Justine Bieber_Where Are U Now


Download

NDOA YA TEMBA MATATANI KUVUNJIKA


Ndoa ya msanii nyota wa muziki wa kizazi kipya nchini, Amani James ‘Temba’ inadaiwa kupumulia mashine kutokana na madai ya kuwepo kwa usaliti baina yao. Habari kutoka kwa chanzo kilicho karibu na wanandoa hao wanaoishi wilayani Temeke, kinasema kumekuwa na...

UCHAWI WAMKIMBIZA ZARI BONGO

Ishu ya uchawi kwa wanawake wajawazito ndilo suala kubwa linaloingia kwenye hisia za baadhi ya watu hasa mimba inapokuwa changa, hofu hiyo sasa imemwingia mwandani wa Mbongo-Fleva anayeuza zaidi kwa sasa, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’,  Zarinah Hassan ‘Zari’ au ‘The Boss Lady’ ambaye anadaiwa kuikimbia Bongo kwa muda ili mimba yake isije kuchoropoka kama ilivyokuwa kwa akina...

T.I.D AIPONDA NGOMA MPYA YA ALI KIBA CHEKECHA CHEKECHUA

Haya ndiyo maoni ya mwanamuziki TID kuhusu wimbo mpya ya Ali Kiba ya chekecha chekechua kuwa hii nyimbo haina ubora wowote na hadhani kama itadumu hata miezi 3 sokoni. *Ameandika Hivi Kwenye Ukurasa wake wa Instagram:* This song is not all That..But u guys are making it a big shi**t, its gonna last 3 months #nose Singing What is your take on this ?

Download: G-UNIT Five (5) New Songs Here


G-Unit – Boy Boy

G-Unit – Ballin’

G-Unit – Doper Than My Last One

G-Unit – I’m Grown

G-Unit – Choose One

BEN POL: KIUKWELI WANAIJERIA HAWATUWEZI KIMUZIKI

Msanii Ben Pol ambae kwa sasa anafanya poa na kazi yake mpya ya Sophia amefunguka na kusema kuwa wasanii wa Nigeria hawawawezi wasanii wa bongo kwa kipaji na kutengeneza ngoma kali na hilo amelithibitisha msanii Diamond Platnum ambae kwa sasa anafanya poa na wimbo wake wa Nitampata wapi ambao unaoneka kufanya vizuri zaidi kuliko hata ngoma za wasanii wa Nigeria katika baadhi ya vituo vya habari ndani na nje ya Tanzania. Ben Pol amesema hayo kupitia...

Friday, February 27, 2015

LISTEN LOVE MAKER FM RADIO THE PAGE SHOW EPISODE 3


Listen & Download

NDEGE YA JESHI YAANGUKA NA KUTEKETEA JIJINI MWANZA

Taarifa kutoka Mwanza Airport ni kuwa kuna ndege ya Jeshi imelipuka na kuteketea.
Rubani wa ndege hii, ndg Peter Augustino kafanikiwa kuruka kwa parachuti na kunusurika ingawa inadaiwa kavunjika mguu na kukimbizwa hospitali.
Ni jet fighter, ilikua kwenye...

PRODUCER WA XO YA JOH MAKINI AFUNGUKA YAKEKUHUSU WEUSI


Akiongea na @DJHAAZU ndani ya Kipindi cha Dundo cha Mambo Jambo Radio Mapema Leo Sappy ameelezea Historia yake hadi kuja Kufanya kazi na Weusi wasanii ambao anasema Alikuwa na ndoto ya kufanya nao Kazi toka kitambo sana. Sappy alienda Kenya Kusomea Muziki akiamini kuwa Muziki unahitaji Elimu zaidi ya...

Download: Jambo Squad_Shigidi


Download

RAY C AWAFUNGUKIA TEAM WEMA NA KUWAPA MAKAVU LAIVU

Kitendo cha Ray C Kumshauri Diamond Amuoe Zari the Boss Lady Kupitia Mtandao wa Instagram Watu mbali mbali ambao ni mashabiki wa Wema Walianza Mtukana Ray C kwa Vijimaneno vya Hapa na pale  Kitu Ambacho Ray C hakukipenda na Kuamua Kuwashukia na Kuwapa Soma kama ifuatavyo...

Download: T.I._ Mind Right (Freestyle)


Download

WATU WATATU WATEKETEA KWA MOTO BAADA YA LORI LA MAFUTA KUPINDUKA

Watu watatu wamefariki dunia kwa kuungua moto hadi kuteketea kabisa akiwemo dereva na utingo wake baada ya lori la mafuta kuacha njia na kupinduka na kuungua moto katika eneo la Maseyu barabara ya Morogoro Dar es Salaam. Mwandishi alishuhudia kikosi cha...

CHID BENZ: NILIKUWA NIPO TAYARI KWA ADHABU YOYOTE

Rapper Chidi Benz kwa sasa ni mtu huru baada ya Alhamis hii kuhukumiwa kifungo cha miaka miwili jela au kulipa faini ya shilingi laki tisa. Amelipa faini hiyo. Akizungumza leo kwenye ‘You Heard’ ya Clouds FM, Chidi amesema amejifunza mengi kupitia kesi hiyo.

Nimejifunza kwa sababu kuna maisha halisi ambayo nimeishi kati hapo na matatizo. Ni maisha ambayo yamebadilisha sehemu kubwa sana ya maisha yangu,” amesema Chidi. “Kwanza watu wote wanafahamu...

HUWEZI AMINI ETI INASEMEKANA KUWA DIAMOND NA ZARI WAPO KIBIASHARA

Speaking for the first time about his relationship with Ugandan socialite, Zari Hassan, Diamond revealed that their “love affair” was planned and it’s all about business. According to Diamond, he is using his relationship with Zari to penetrate the Ugandan market which has not been receptive...

CHEKECHA NI ZAIDI YA MWANA... ASEMA ALI KIBA


Hit Maker wa Mwana ALI KIBA amesema kuwa ngoma yake Chekecha-Cheketua Itakuwa kali kuliko Mwana ambayo imefanya na Bado inafanya poa sana Afrika Mashariki. Akipiga Stori na Kipindi cha DUNDO cha Mambo Jambo Radio Ali Kiba amepata kuyafunguka Hayo wakati akiwaweka sawa Mashabiki wake Maana halisi ya...

Download: Selebobo_Shi Shi


Download

Download: Ali Kiba_Chekecha Chekechua


Download

Thursday, February 26, 2015

LULU AYAJIA JUU MAGAZETI YA UDAKU

Mrembo na mwigizaji wa filamu, Elizabeth Michael ‘Lulu’ leo ameamua kuwapa makavu laivu magazeti hayo kwa kile ambacho Lulu anadai wamekuwa wakimbandika kwenye kurasa zao ya mbele kila leo kwa stori za kuungaunga.

“Okay...Acha nitoe PROMO bila Malipo tu maana inawezekana watu wana uhitaji
Kwahiyo kuna Magazeti yanaitwa...

CHID BENZ AACHIWA HURU BAADA YA KULIPA FAINI SH. LAKI 9


MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu leo imemwachia huru mwanamuziki Rashid Makwilo 'Chid Benz' baada ya kulipa faini ya sh. 900,000 au kwenda jela miaka miwili kufuatia kukamatwa akiwa na madawa ya kulevya, ambapo amefanikiwaa kulipa pesa hizo na kuachiwa huru. Chid Benz alikamatwa...

ALIKIBA KUACHIA NGOMA MPYA IJUMAA WIKI HII

Msanii alietamba kwa muda mrefu na ngoma yake ya Mwana AliKiba kesho anaratajia kuachia wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Chekecha,kupitia ukurasa wake wa Intragram baada ya kuonyesha picha inayoonyesha ujio wake mpya mashabiki wa Ali Kiba. wameonyesha walikuwa na shauku kubwa ya kusikia kazi mpya wa King Kiba. Baadhi ya...

Tuesday, February 24, 2015

LISTEN LOVE MAKER FM RADIO THE PAGE FULL EPISODE 2


Listen & Download

SARMY CLEVER: SIHITAJI KUKURUPUKA NATAKA KUFANYA KITU KILICHO BORA ZAIDI


Baada ya kuona wimbo unahit sana ktk redio mbali mbali kwa muda huku masabiki wakiwa na hamu kubwa ya kuona na video ya ngoma ya Tausi iliyoimbwa na mkali wa Bongo Fleva Samry Clever hatimaye msanii huyu afunguka na kukata kiu ya mashabiki wanaotaka kuona video ya ngoma hiyo.
Bila kuchelewa tulimtafuta Sarmy na kukaa naye kisha tukazungumza mawili matatu kuhusiana na swala hili Sarmy alisema..

Download: Izzo Bizness ft Shaa_Kidawa .mp3


Download

BAADHI YA PICHA ZA SHOW YA YAMOTO BAND HUKO LONDON

Vijana wa Yamoto Band jumamosi iliyopita Walipiga Bonge moja la Show huko UK London katika Ukumbi wa Royal Regency na kuhudhuliwa na watu kibao wanaoishi huko, Tazama hapa picha kadhaa za tukio...

FAIZA: NINGEKUWA NA UWEZO NINGEZAA TIMU YA MPIRA (WATOTO 11)

Mwigizaji wa filamu mwenye vituko vya aina yake, Faiza Ally ambae ni mama wa mtoto moja, aliezaa na Mbunge wasasa wa Mbeya mjini, ameyasema hayo  akiwa visiwani Zanzibar kwenye mapumziko mafupi.

Mwigizaji huyu ambae mara kabdhaa amekuwa akijisifia kwa kuwa na FIGA nzuri akidai hata baada ya kuzaa bado umbo na mvuto wake bado upo pale pale amesema angekuwa na uwezo wa kipesa  angezaa watoto wengi zaidi kiasi cha...

JUX NA VANESSA MDEE NI UTATA MTUPU

Vanessa Mdee na Jux wote wapo nchini Afrika Kusini walikoenda kufanya video ambayo hata hivyo hawajasema ni ya wimbo gani na kwa mujibu wa picha wanazopost kwenye mitandao ya kijamii, wawili hao wanapeana kampani ya nguvu.
Hawajawahi kukubali hadharani kuwa ni wapenzi lakini...

CHEGE AKANUSHA KUVAA IRIZI KWENYE PICHA ILIYO ZAGAA MTANDAONI

Chege Chigunda amekanusha vikali tuhuma zilizotokana na kusambaa kwa picha akiwa jukwaani na huku mkononi mwake (karibuni na kwapa) akiwa na kitambaa cheusi ambacho baadhi ya watu wanahisi ni hirizi. Mtu wa kwanza kuikuza picha hiyo na kuandika kuwa ana mashaka kuwa kitambaa hicho huenda kikawa hirizi, ni Maimartha Jesse. Alisema...

New Vide: Izzo Bizness ft Shaa_Kidawa (Official Video)


Watch Here

Sunday, February 22, 2015

Download: Big Sean ft. Ariana Grande_Research


Download

Download: Chris Brown's New Songs Here



Chris Brown ft. Tyga, T.I. & J305 - Bunkin

Chris Brown ft. Tyga & Lil Boosie – Real One

Chris Brown ft. Tyga & 50 Cent – I Bet

Chris Brown ft. Tyga & Ty Dolla $ign – Nothin’ Like Me

Download: Mike Tee ft RossieM_Ningejua Mapema


Download

UWOYA AONESHA TATTOO YAKE MPY ALIYO JICHORA KWA FANS ZAKE

Picha hii ya mrembo na mwigizaji  wa filamu anaezimikiwa na mashabiki wengi, Irene Uwoya imewaacha midomo wazi mashabiki wake huku wakiwa na alamaza kujiuliza vichwani mwao. Irene aliibandika picha hii  mtandaoni bila kuandika kitu chochote kwahiyo ikawa kama...

MILLARD AYO AFUNGUA RADIO STATION YAKE BINAFSI

Mtangazaji wako wa nguvu,Millard Ayo mfanyakazi wa Clouds Fm kipindi cha Amplifier amefungua studio kubwa ya kisasa iliyomghalimu mamilioni ya shilingi."Ilikuwa si kazi ndogo kuanzisha hii studio ambayo nimeijenga mwaka mmoja kwa kudunduliza kihasi kidogo kidogo ninachokipata" alisema Millard Ayo.

Ameandika hivi kwenye ukurasa wake wa Facebook...

Saturday, February 21, 2015

NEY WA MITEGO AWATAKA MASTAA WAONESHE MALI ZAO

Amesema anafanya hivyo kwa lengo la kuwahamasisha vijana kujituma.
Ney amesisitiza kuwa, ni muhimu kwa kila staa kufanya hivyo, licha ya wengi kutafsiri kitendo hicho kama kujidai ama majigambo fulani hivi, akikazia kuwa hata kama watu wakichukia, kile anachokionesha ni...

JB AMLILIA RAIS KIKWETE

Jb: Rais Kikwete Tutakufa Maskini!
Mwigizaji nguli na muongozaji wa filamu za Kibongo, Jacob Steven ‘JB’, amesema kuwa pamoja na kuendelea kulia juu ya kuibiwa kazi zao, anamkumbusha Rais Jakaya Kikwete kutimiza ahadi yake aliyowahi kusema kwenye msiba wa nguli wa filamu, Steven Kanumba kuwa atawashungulikia wale wote wanaoiba kazi za wasanii na kutoa kopi.
JB alitoa ombi  kwa uchungu ambapo alifunguka kuwa...

LADY JAY DEE ATANGAZA SIFA ZA MWANAUME ANAYE MTAKA

Mwanaume mwenye vigezo gani ungependa kuwa nae kwa sasa? 
JIBU :Anaejali na kuheshimu, mwenye roho ya upendo na huruma, anaeweza ku take care of me financially.Asiechepuka hovyo (Milupo kila kona ),Asiwe tegemezi.Hata kama sio tajiri lakini...

SIAJAONA MWANAMKE MREMBO KAMA ROSE NDAUKA... ASEMA MALICK

Bwana Malick Bandawe amefunguka kwa mara ya kwanza kuwa tangu atengane na mzazi mwenziye, Rose Ndauka bado hajatokea wa kumtetemesha. Akimzungumzia Rose, Malick alisema kuwa huko nyuma alipomuona Rose alimtetemesha na kuamua kuingia mzimamzima mpaka kufikia hatua ya kupata naye mtoto lakini...

Download: Dutch Man & Sagges_Harakati


Download

New Video: Barnaba ft Vanessa Mdee_Siri (Official Video)


Watch Here

HIKI NDICHU WALICHO KISEMA YAMOTO BAND NDANI YA BBC DIRA YA DUNIA

Tuliziona pichaz Yamoto Band pamoja na story za wao kwenda zao London, Uingereza kupiga show, siku ya leo FEB21 muda mfupi baadaye watakuwa na show, watu wetu hawa saa chache zilizopita walikuwa kwenye Interview na mtangazaji Charles Hillary kwenye BBC Dira ya Dunia.

Swali la kwanza kuulizwa ilikuwa...

DIAMOND ATOA SABABU YA KUTO HUDHURIA MAZISHI YA BABA WA DULLY SYKES

Diamond Platnumz ni miongoni mwa marafiki wa karibu wa msanii Dully Sykes ambaye weekend iliyopita alimpoteza baba yake mzazi Ebby Sykes, lakini hakuweza kuhudhuria msiba huo kutokana na sababu ambazo amezitoa leo.
Diamond ambaye wakati msiba huo unatokea alikuwa Zanzibar na mpenzi wake Zari, ameelezea sababu zilizomfanya kushindwa kuhudhuria mazishi. Diamond amesema:“Watu waliniona niko zanzibar lakini...

Friday, February 20, 2015

Download: Cyril Kamikaze_Nikikuona


Download

MEZ B KAFARIKI DUNIA DADA NA KAKA YAKE WAMETHIBITISHA

Msanii wa Bongo fleva aliekuwa anaunda kundi la Chemba Squard, Moses a.k.a Mez B amefariki dunia asubuhi ya leo akiwa nyumbani kwao Dodoma baada ya kuugua kwa muda. kutokana na kauli ya dada yake mzazi na mdogo wake wa kiume, Mez b ameugua kwa wiki nne mfululizo, alishalazwa takribani mara nne na "kila mara...

Thursday, February 19, 2015

Download: G Van_Why (Kwanini)


Download

WEMA SEPETU AMUUMBUA KAJALA

Gazeti la udaku la Amani, limeripoti kuwa mrembo na mwigizaji wa Bongo Movies ,Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ amedaiwa kumuumbua shosti wake wa zamani, Kajala Masanja kwa kumwaga ‘ubuyu’ kwamba amefilisika baada ya kigogo maarufu kama...

OMMY DIMPOZ AMKANA WEMA SEPETU


Msanii wa Bongo Fleva, Omary Nyembo ‘Ommy Dimpoz’, amesema anashangazwa na uvumi unaoendelea kuwa yupo katika uhusiano na mwigizaji wa filamu, Wema Sepetu. Akielezea kuhusu picha zilizosambaa kwenye mitandano ya kijamii, Ommy Dimpoz, alisema walikuwa Afrika Kusini kwa...

RICH MAVOKO ALAMBA DILI LA UBALOZI WA WWF

Hit maker wa "Mapacha" Rich Mavoko apata shavu la kuwa balozi wa shirika lisilo la kiserikali linalojihusisha na utunzaji wa mazingira, World Wide Fund (WWF) kwa mwaka mzima. Dili hilo embalo amelipata baada yakushoot video ya wimbo wake mpya "Mapacha"nchini South Africa, ambapo anaonekana akiwa anaimba na mnyama Duma akiwa pembeni yake. Mavoko amezungumzia jinsi...