Pages

Subscribe:

Friday, February 13, 2015

ASKARI POLISI WAOMBA MSAADA JWTZ BAADA YA KUZIDIWA NGUVU NA MAJAMBAZI

Picha Aihusiani na Tukio Kuna taarifa nimezipata muda sio mrefu zinasema polisi wanarushiana risasi na watu wanaosadikiwa kuwa ni magaidi. Inasemekana walienda kumkomboa mwenzao aliyekamatwa na polisi. Polisi watatu wamejeruhiwa na... wameomba msaada toka JWTZ

0 comments:

Post a Comment