Pages

Subscribe:

Friday, February 27, 2015

PRODUCER WA XO YA JOH MAKINI AFUNGUKA YAKEKUHUSU WEUSI


Akiongea na @DJHAAZU ndani ya Kipindi cha Dundo cha Mambo Jambo Radio Mapema Leo Sappy ameelezea Historia yake hadi kuja Kufanya kazi na Weusi wasanii ambao anasema Alikuwa na ndoto ya kufanya nao Kazi toka kitambo sana. Sappy alienda Kenya Kusomea Muziki akiamini kuwa Muziki unahitaji Elimu zaidi ya...
ambavyo watu wanafikiria na Alivyoenda Kenya Kusoma akagundua kuwa Muziki Unavyofanywa Kenya unafanywa Kisomi Zaidi tofauti na Tanzania.
Katika Mazungumzo yake akatiririka Mengi haswa alivyokuwa akitamani Siku moja afanye Kazi na Vijana ambao anaamini Wanajitambua na wanajua wanachokifanya WEUSI

0 comments:

Post a Comment