Pages

Subscribe:

Saturday, February 14, 2015

BONGO MOVIE: JOHARI AANZA KUTIMIZA AHADI YAKE

Refund: Ujio Mpya, Johari Ameanza Kutimiza Ahadi Yake!
Mrembo na muigizaji wakike wa filamu mwenye kipaji cha hali ya juu, Blandina Chagula “Johari” ameanza kutimiza ahadi yake aliyoitoa kwaka jana kuwa mwaka huu ni mwaka wa kazi tu. Ameanza na hii, ingawa hakuweka wazi ni lini hasa itaingia sokoni, filamu yake hii mpya inayokwenda kwa jina la Refund ambayo pamoja...
nae,wakali kama Juma Chikoka ‘Chopamchopanga’ na Haji Adam na wengine wengi wameshiriki kwenye filamu hii.
Kwamaneno mafupi Johari alisema;
Kama nilivyoahidi mashabiki wangu 2015 mwaka wa kazi sasa ni zamu ya refund kaa tayari hivi karibuni itakuwa mtaani.

0 comments:

Post a Comment