Pages

Subscribe:

Saturday, February 14, 2015

RICH MAVOKO: SIJAACHIA WIMBO MPYA NA WALA SINA MPANGO WA KUACHIA WIMBO KWA SASA

mavoko
Wiki hii kuna wimbo wa Rich Mavoko unaoitwa Ongea Nae umesambaa kwenye blogs na hata kwenye redio za mikoa mbali mbali ikiaminika kuwa ni single yake mpya, Baada ya Rich Mavoko kuulizwa alisema...
wimbo uliosambaa ni wa zamani na ilikuwa demo na hana mpango wa kutoa wimbo kwa sasa.

"Sijaachia wimbo kwa sasa na wala sina mpango wa kuachia wimbo"mavoko ameiambia Showtime New Chapter ya RFA, Na haikuwa na jina hilo (Ongea Nae) jina katoa tu mtu na kuilusha kwenye E-mail za watu kajitolea mwenyewe jina, Wimbo wenyewe una dakika moja, Siyo wimbo yaani ni demo kabisa.

Kuhusu kwanini hafikirii kutoa nyimbo siku za karibuni Mavoko alisema Anaupa muda Pacha wangu alioutoa November 2014.

0 comments:

Post a Comment