Pages

Subscribe:

Monday, February 16, 2015

MASOGANGE AMDATISHA MWANAUME KUTOKA SOUTH AFRICA HADI KAAMUA KUTANGAZA NDOA

Yule mwanadada, ambaye ni video queen na role model wa teenage girls katika nchi ya Tanzania tena anayekumbukwa na wengi kwa kusafirisha panadol zenye thamani ya bilioni 6 kwenda South Africa anatarajiwa kuolewa karibuni. Modo Agnes Masogange ameonekana kumdatisha mwanaume aliyefahamika kwa jina la Louis Donald wa nchini Afrika Kusini baada ya... jamaa huyo kuposti mtandaoni picha tofauti akiwa amepozi kimahaba na Agnes na kueleza kuwa, huyo ndiye mke wake wa kufa na kuzikana.

Jamaa huyo amekuwa akieneza habari kuwa, Masogange ni ‘mtu’ wake kitendo kilicholifanya Ijumaa ambalo awali lilikuwa na taarifa kuwa, Agnes amechumbiwa na msanii aitwaye Evance Komu limtafute mrembo huyo ili afafanue na alipopatikana alisema:
“Hiyo ishu ipotezee bwana, maswali gani hayo unaniuliza?” alihoji Masogange aliyeonekana kutotaka kuweka wazi ishu zake za kimapenzi.

0 comments:

Post a Comment