Pages

Subscribe:

Friday, February 13, 2015

COMING SOON: Izzo Bizness ft Shaa_Kidawa


"Kidawa" ni wimbo utakaofata kutoka kwa Izzo Bizness akimshirikisha Shaa, Izzo ameongelea kuhusu wimbo wake huo ambao video itatoka hivi karibuni kwa kusema, "Naomba mnisikilize vizuri na Naomba mninukuu hii kauli yangu, "Baaday ya video hii ya KIDAWA kutoka asilimia 98 ya wanawake waliopo...
kwenye Mahusiano (Mapenzi) watabadili majina yao na kujiita wakina KIDAWA au a.k.a zao zitakuwa KIDAWA.

0 comments:

Post a Comment