Pages

Subscribe:

Wednesday, February 18, 2015

MUUZA MISHKAKI MAARUFU STEND YA TEMEKE APEWA KICHAPO BAADA YA KUGUNDULIKA ANAUZA NYAMA YA PAKA

Muuuza mishikaki maarufu temeke stand ya mabasi anaitwa Said mishikaki amekamatwa na nyama ya paka jana akiwa anaitengeneza kwa ajili ya Kuchoma Mishikaki. Wananchi wenye hasira kali walimshushia kipigo cha haja kwa hasira za kulishwa nyama ya paka bila kujua.

0 comments:

Post a Comment