Pages

Subscribe:

Saturday, February 21, 2015

SIAJAONA MWANAMKE MREMBO KAMA ROSE NDAUKA... ASEMA MALICK

Bwana Malick Bandawe amefunguka kwa mara ya kwanza kuwa tangu atengane na mzazi mwenziye, Rose Ndauka bado hajatokea wa kumtetemesha. Akimzungumzia Rose, Malick alisema kuwa huko nyuma alipomuona Rose alimtetemesha na kuamua kuingia mzimamzima mpaka kufikia hatua ya kupata naye mtoto lakini... mpaka sasa hajatokea kama yeye. “Unajua mambo yanapotokea lazima kukubaliana nayo na huwezi kulazimisha. Tangu uhusiano wetu usambaratike, hajatokea kama Rose,” alisema Malick

0 comments:

Post a Comment