Pages

Subscribe:

Friday, February 20, 2015

MEZ B KAFARIKI DUNIA DADA NA KAKA YAKE WAMETHIBITISHA

Msanii wa Bongo fleva aliekuwa anaunda kundi la Chemba Squard, Moses a.k.a Mez B amefariki dunia asubuhi ya leo akiwa nyumbani kwao Dodoma baada ya kuugua kwa muda. kutokana na kauli ya dada yake mzazi na mdogo wake wa kiume, Mez b ameugua kwa wiki nne mfululizo, alishalazwa takribani mara nne na "kila mara... alikuwa akipata nafuu na kurudi nyumbani, lakini leo hii amezidiwa ghafla na ndio akafari." amesema dada wa Mez b

0 comments:

Post a Comment