Pages

Subscribe:

Thursday, February 19, 2015

DIAMOND AMNUNULIA MPENZI WAKE PETE NA CHENI ZA BEI MBAYA

Mapenzi Moto moto ya Mwanamuzi Diamond kwa Mpenzi wake mpya bado yanaendelea ku make headlines baada ya kumnunulia Pete na Cheni ya mkononi Zari the lady boss , Kama picha inavyoonyesha hapo zote ni za dhahabu pure ila gharama zake hatukuweza kujua kwa haraka. Zari Ameweka picha hiyo na kuandika maneno haya...Woke up to some 24 carat eish. Thank you Boo, xoxo...#QueenTingz.

0 comments:

Post a Comment