Pages

Subscribe:

Wednesday, February 18, 2015

SARMY CREVER KUACHIA NGOMA MPYA HIVI KARIBUNI


Baaaasi kama wewe ni shabiki mkubwa wa msanii Sarmy Crever nataka nikujuze kuwa mkali wa ngoma ya tausi yupo mbioni kuachia ngoma mpya hivi karibuni japo bado haijajulikana siku na tarehe ambayo atafanya hivyo stori hii imekuja baada ya yeye mwenyewe kupost kwenye ukurasa wake wa Facebook akiuliza...
swali kama aachie ngoma mpya ambayo ambayo haijulikani ipo tayari au vip Sarmy alipost picha hiyo hapo juu na caption yake ilisema hivi:  Je mnafikiri muda umefika wa,kuachia nyimbo mpya au niiache tausi tu.

0 comments:

Post a Comment