Pages

Subscribe:

Friday, February 13, 2015

TAZAMA JINSI MKOROGO ULIVYO IFANYA NGOZI YA HUYU JAMAA

Mwanaume huyu anayeitwa  Pela Tonye Okiemute ni maarufu sana huku Nigeria kwa kazi yake anayoifanya ya kutengeneza Mikorogo ya kujichubua ngozi hasa kwa wanawake , Wenyewe wanamwita "King of Beauty", Wateja wake wakubwa ni Wasanii wakubwa na Wanawake wanaojiita... Socialite kama kina Agness Masogange na Vera Sidika, yeye mwenyewe amejichubua vya kutosha kiasi kwamba kama ulikuwa unamjua zamani kwa sasa uwezi kumtambua , Pale Ameshare picha zake alivyokuwa zamani ujionee jinsi mkorogo ulivyombadilisha:
Despite serious backlash online against skin bleaching and lightening, based on the comments and testimonials on his instagram page @pelsinternational, it is obvious that there is a long list of potential clients who want the same skin results.

0 comments:

Post a Comment