Pages

Subscribe:

Thursday, June 30, 2016

B.O.B MICHARAZO KUTOA WIMBO MPYA HIVI KARIBUNI

beka
Member wa kundi la B.O.B Micharazo, Beka Tittle amesema muda siyo mrefu wataachia wimbo wao mpya kutoka studio ya MJ Records. Hivi karibuni mambo yalionekana kuwa tofauti kati ya Mr Blue, Sugu na uongozi wa Mj Records hali iliyozua maswali ya kuvunjika kwa...
urafiki uliopo kati ya kundi la B.O.B Mcharazo na mtayarishaji wa muziki Marco Chali.

Akiongea na Bongo5, Beka Tittle amesema kuwa muda siyo mrefu watAachia wimbo wao mpya kutoka studio ya Mj Records. “Soon tutaachia wimbo mpya kutoka B.O.B Micharazo, ndio tupo njiani kufanya hivyo. Tena kutoka hapo hapo kwenye studio ya Mj Records,” alisema Beka.

0 comments:

Post a Comment