Pages

Subscribe:

Wednesday, November 23, 2016

ALIKIBA ATAJA MAFANIKIO ALIYO YAPATA NA WIMBO WAKE WA AJE


King wa Bongo Fleva Alikiba ameutaja wimbo wake wa Aje kama moja kati ya nyimbo zake ambazo zimempa mafanikio makubwa, Akiongea Alikiba amedai kuwa Aje ni wimbo ambao umekuja kwa wakati mzuri ukizingatia ni wakati ambao alidondokewa na wino wa kusaini katika record lebo ya Sony Music Global.

“Aje imekuja wakati mzuri, wakati niko signed by Sony Worldwide, kwahiyo imekuwa ni rahisi kuwafikia watu kokote kule waliko. Vile vile watu kutaka kumjua Alikiba ni nani, na kwanini...
Sony wamemsaini.” Alisema Alikiba.

King Kiba aliendelea kwa kuongeza kuwa Aje imemtengenezea maisha mazuri kwa kumpa mtonyo mrefu zaidi.

0 comments:

Post a Comment