![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjFIuZODO1FMMh9ru3tPUwjdk_QQ57b3G9Jhrl5uugSOYB24UKavpWbac64iRLWcVk6sr80xUE8tk9h_keb3z70A14qPvr-p1zD3ovS91V-pGjRReHiBMpzUKAJH0ifCIodXS-7z77ADEjz/s640/%25255BUNSET%25255D.jpg)
Picha hiyo ambayo imepostiwa na baadhi ya watu ikiwemo Mose Iyobo mwenyewe inamuonesha Aunty Ezikiel akiwa mjamzito, kitu ambacho kimefanya...
baadhi ya mashabiki wao kutoa comment za pongezi.
Kama utakuwa unakumbuka vizuri Mose Iyobo na Aunty Ezekiel wana mtoto wa kike anayejulikana kwa jina la Cookie hivyo kwa mujibu wa post ya Mose Iyobo inawezekana wakawa wanatarajia mtoto wa pili.
0 comments:
Post a Comment