Pages

Subscribe:

Wednesday, November 30, 2016

TIFFAH WA DIAMOND AWA MTOTO WA KWANZA AFRIKA KUFIKISHA FOLLOWERS MIL 1

Hakuna ubishi kuwa Princess Tiffah ndiye mtoto maarufu zaidi Afrika kwa sasa. Umaarufu wake unazidi kuongozeka kiasi ambacho wiki hii amefikisha followers milioni 1 kwenye mtandao wa Instagram.

Umaarufu huo hajahangaika hata kuutafuta kwakuwa ni mtoto wa couple maarufu zaidi pia Afrika – Diamond na Zari.
Akaunti yake husimamiwa na mama yake ambaye katika kusherehekea hatua hiyo ameamuandikia:...
Who wouldn’t be excited with a new Bentley whip 🚘 THANK YOU MY 1 MILLION FOLLOWERS😘.
Zari na Diamond wanatarajia kupata mtoto wa pili mwezi ujao.

0 comments:

Post a Comment