Pages

Subscribe:

Wednesday, July 27, 2016

TAZAMA PICHA KADHAA ZA BEYOUNCE NA JAY Z WAKIWA MAPUMZIKO PARIS

See more pics inside...


vac2
Couple iliyoingiza mkwanja mrefu zaidi mwaka 2015 kwa mujibu wa Forbes, huku wakiwa wanaendelea kuingiza pesa nyingi kupitia Tour ya ‘Lemonade’ na vitega uchumi vingi kama Tidal, Ivy Park na vinginevyo ni wazi Jay Z na Beyonce wanahitaji vacation mara kwa mara.
vac7
Beyonce na Mume wake wameamua kufanya vacation Paris ukiachana na ile waliyofanya kwenye visiwa vya hawaii mwezi uliopita.
vac3

vac9


vac4

vac10

0 comments:

Post a Comment