Pages

Subscribe:

Wednesday, July 27, 2016

GABO AFUNGUKA KUHUSU KUDATE NA ALIYEKUWA MKE WA MHESHIMIWA SUGU

Msanii wa filamu Gabo Zigamba, amefunguka kwa kusema kuwa hana mahusiano yoyote na msanii mwenzake wa kiwanda cha filamu Bongo, Faiza Ally. Muigizaji huyo ambaye hivi karibuni amefanikiwa kushinda tuzo ya mwigizaji bora wa kiume kwenye tamasha la Ziff 2016, amedai kuwa...
hakuna mahusiano yoyote ya kimapenzi yatakayotokea kati yake na Faiza.

“Faiza namjua kama producer wangu, amenishirikisha kwenye filamu yake ya Baby Mama Drama. Hakuna chochote wala hayatotokea mahusiano ya kimapenzi kati yetu,” amesema Gabo.

0 comments:

Post a Comment