Pages

Subscribe:

Wednesday, July 27, 2016

DIVA KUWASHIRIKISHA ROMA, CHEMICAL, BILL NAS, BAGHDAD NA MR BLUE KWENYE BABY BOY [RMX]


Baby Boy
Remix ya wimbo ‘Baby Boy’ wa Diva utakuwa na rappers watano. Mtangazaji huyo wa Clouds FM amewataja rappers hao kuwa ni Chemical, Roma, Bill Nas, Baghdad na Mr Blue. Amedai kuwa remix hiyo itakuja na video yake pia itakayosimamiwa na kampuni ya QSJ Mhonda.

“Ni wimbo mzuri sana with a lot of changes, imagine 5 big rappers in one track na wote wameonyesha uwezo mkubwa, Chemical killed it,” Diva ameiambia Bongo5.
“Nimefurahi kufanya kazi na wote, Roma killed it, Roma was happy kusikia verse ya Bill Nas na...
Chemical and mpaka anakubali kuingiza he said it’s about time we take changes in the music industry, he believes Chemical and Bill Nas ni game changer,” ameongeza.

“Plus Roma killed it as a legendary I can’t wait for the world to hear it and I can’t wait for my Instagram account kuwa na kitiki cha Blue, I have been working so hard in my life and I want to be happy, very happy.”
“Been learning new music and singing all day long, can’t wait for my album to be ready na kusikika iTunes. Feels good to have a major support from my fans and media mbalimbali, nawashukuru sana.”
Naye Chemical ameiambia Bongo5,”Najisikia vizuri na furaha pia sababu ukiangalia watu walioshirikishwa mule kwa upande wangu ni miongoni mwa marapper wakali kwahiyo na mimi kupewa nafasi hiyo nahisi kama Diva ameona uwezo wangu na ameniamini ntafanya kitu kizuri am grateful kwakWeli and I believe itakuwa ngoma kali.”

0 comments:

Post a Comment