Pages

Subscribe:

Thursday, January 17, 2019

BABA MZAZI WA ALIKIBA AZIKWA MAKABURI YA KISUTU


Mwanamuziki Ali Kiba amefiwa na baba yake Saleh Kiba leo katika Hospitali ya Muhimbili alipokuwa amelazwa kwa takribani siku 21. Akithibisha taarifa ya kifo hicho, Abdu Kiba ambaye ni mdogo wa Ali Kiba alisema ni kweli baba yao amefariki na msiba upo nyumbani kwao Kariakoo Mtaa wa Muheza.

Kwa mazishi yamefanyika leo hii saa...
10 jioni katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es salaam.

Ofisa Uhusiano wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), Neema Mwangomo amesema Mzee Saleh, alifikwa na mauti leo saa 12:05 katika hospitali hiyo.

Neema alibainisha kwamba baba huyo alifikishwa hospitalini hapo tangu Desemba 27 mwaka jana.

1 comments:

Anonymous said...

Baba Mzazi Wa Alikiba Azikwa Makaburi Ya Kisutu >>>>> Download Now

>>>>> Download Full

Baba Mzazi Wa Alikiba Azikwa Makaburi Ya Kisutu >>>>> Download LINK

>>>>> Download Now

Baba Mzazi Wa Alikiba Azikwa Makaburi Ya Kisutu >>>>> Download Full

>>>>> Download LINK eA

Post a Comment