Pages

Subscribe:

Friday, May 26, 2017

CHEKA NA POST ZA MASTAA MBALI MBALI BAADA YA MAN UTD KUTWAA UBINGWA EUROPA

 
Baaada ya kumalizika mchezo kati ya Manchester United na Ajax, na Man United kutwaa 
ubingwa wa UEFA Europa League, mastaa wale mashabiki wa Man United wamekuwa na 
utani wa hapa na pale huko Ommy Dimpoz akiwatania mashabiki wa Arsenal kuwa...

 msimu ujao hatakuwepo kwenye Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya (UEFA) kwa sababu 
hawajaulamba, yaani kupendeza.



0 comments:

Post a Comment