Pages

Subscribe:

Monday, May 23, 2016

HARMONIZE: NAMZIMIA WOLPER KINOMA ILA BADO NI MAPEMA SANA KUMVISHA PETE

Harmonizer ambae ni miongoni mwa wasanii ambao wamesaniwa na music label ya W.C.B (Wasafi) label inayomilikia na mwanamuziki Damond Platnumz, akiongea na amedai kuwa ni kweli yupo kwenye mahusiano na Bongo movie actres Jackline Wolper na kuongeza kuwa...
kabla kumnasa mrembo huyo aliewahi kushare shuka na boss wake hajawahi kumvisha mtu pete  na hana mpango wa kumvisha pete Wolper kwa sasa huku akidai kuwa kila kitu kitakua wazi siku za usoni.

harmonize and wolper                                                      Harmonize & Wolper.
“Yeah broo…niseme tu kweli nipo kwenye mahusiano na Wolper ambaye ni maarufu kama mimi na wakati ukifika kila kitu kitawekwa wazi,lakini hiyo ya kumvisha mtu pete sio kweli..sijawahi kuvishwa pete wala kumvisha mtu pete” alisema Harmonize
harmonize post on wolper 002

0 comments:

Post a Comment