Pages

Subscribe:

Monday, May 16, 2016

HARMONIZE NA WOLPER NDANI YA MAPENZI MOTO MOTO


harm-horz
Harmonize anaweza akawa ameweka majeshi kwa mpenzi wa zamani wa Diamond, Jacqueline Wolper. Diamond mwenyewe ndio amemwaga mchele huo wa uhusiano wa Msanii wake, Harmonize na Mpenzi wake wa zamani, Jacqueline Wolper huku akiwaita ‘love birds.’

“A throw Back of two love Birdsbirdrevolving_hearts…. Mjini kutamu jamani… hebu nitagie Wakereketwa hapa, waje kuzirai….?” Diamond alindika kwenye Post ya video ya wawili hao. Tetesi za wawili hao kuwa na uhusiano zilianza siku...
chache zilizopita baada ya kuonekana wakiwa karibu sana, Wolper alishaweka video kwenye Snapchat wakiwa maeneo tata Harmonize.

0 comments:

Post a Comment