Pages

Subscribe:

Monday, May 23, 2016

Tazama & Download: VIDEO YA KIONJO CHA WIMBO WA DIAMOND NA NE-YO


diamond and neyo 001
Kama wewe ni shabiki wa Diamond Platnumz kaa mkao wa kula kwani licha colabo anayotarajia na Chris Brown,colabo yake na R&B hit maker Ne-Yo ipo tayari na muda wowote inaweza kutoka rasmi,colabo ambayo ndani yake unaambiwa Ne-Yo kaimba kishwahili.

Watch Here 


Kwa kudhihirisha hilo wawili hao waliperfom wimbo huo kwa mara ya kwanza on stage  katika tamasha la Jembeka Festival ambapo Ne-Yo aliungana na mastaa wa Bongofleva kuwaburudisha maelfu ya mashabiki wa muziki waliohudhuria tamasha hilo lililofanyika katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.

neyo and domooo                        
 Diamond(L) & Ne-Yo(R) on stage @Mwanza.

0 comments:

Post a Comment