Pages

Subscribe:

Tuesday, May 24, 2016

ADELE KUSAINI MKATABA NA LABEL YA ALIKIBA SONY MUSIC KWA DAU LA £90m


adele-pop-music-star-returns-spotlight

Adele anatarajia kuwa msanii mpya wa record label ya Sony Music, iliyomsainisha Alikiba wiki iliyopita.

Imeripotiwa kuwa msanii huyo atasaini mkataba wenye dau la paundi milioni 90, kubwa zaidi kwa msanii wa Uingereza. Kama ni kweli, kiasi hicho kitaongeza utajiri wake mara mbili ambao kwa sasa ni...
£85m. Mkataba huo utakuwa mkubwa zaidi kwa mwanamuziki wa kike kwenye historia ya muziki. Mkataba wake na label ya mwanzo XL umemalizika.

0 comments:

Post a Comment