Pages

Subscribe:

Monday, May 30, 2016

BIFU LA SHILOLE NA VANESSA LAISHIA JUKWAANI

Vanessa na Shilole wakijaribu kuelezea juu ya bifu lao. WAREMBO wanaofanya vyema kwenye tasnia ya muziki wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, Vanessa Mdee, usiku wa kuamkia leo wameweza kuvunja bifu lao ambalo limekuwa likivuma kwenye mitandao ya kijamii baada ya... kukamua kwenye steji moja ndani ya ukumbi wa Bilicanas.
 Mtangazaji wa kituo cha Clouds FM, Hamisi Mandi ‘B12’, akiwakaribisha Shilole na Vanessa Mdee tayari kwa kufanya shoo hiyo.
 Shilole akifanya makamuzi.
 Vanessa akikamua jukwaani.
 Baadhi ya mashabiki wakifuatilia shoo hiyo.

     Shilole (kulia)  akipashana jukwaani na Vanessa kabla ya shoo hiyo kuanza.

0 comments:

Post a Comment