Pages

Subscribe:

Monday, May 16, 2016

BAADA YA KUANDAMWA NA TETESI YA KUSHIRIKI MAPENZI YA JINSIA MOJA MILEY CYRUS APATA UJAUZITO

Mmoja kati ya wanamuziki wa kike  wenye vituko,Miley Cyrus ambae amekua akihusishwa na skendo za kushiriki mapenzi ya jinsia moja ameendelea kutrend kwenye healdline za burudani and this time around mrembo huyo anadaiwa kuwa na ujauzito unaodaiwa kuwa wa...
mpenzi wake  ambae ni muigizaji anefahamika kama Liam Hemsworth.
miley cyrus on stage

mileyyy and boooo 002                                    
Miley Cyrus(R) & Liam Hermsworth.
Ka mujibu wa jarida la Life & Time staa huyo  hit maker wa single ya “Wrecking Ball” mwenye umri wa miaka 23 inadaiwa amekua akihakikisha kuwa taarifa za ujauzito wake haziwafikii mapaparazi ambao wamekua wakimfatilia kwa ukaribu tangu tetesi hizo zilipoanza kusambaa kwenye mitandao ya kijamii.
miley cyrus preginat 001 
Baadhi ya mitandao ya udaku nchini Marekani imekua ikitafsiri baadhi ya post za Cyrus kwenye account yake ya instagram,wakidai kuwa zinasadiki tetesi za ujauzito wake japo hazithibitishi moja kwa moja.Hata hivyo mrembo huyo amekua akipost picha na video kwenye account yake  ya instagram zikimuonesha akivuta kitu kinachosadikiwa kuwa ni “bangi”,ambapo mapaparazi wameenda mbali na kudai kuwa,Cyrus anajaribu kuwahadaa wale wanaomfatilia hasa juu ya tetesi za ujauzito wake kwa kupost video na picha alizopiga kitambo.
cyrus post 001

cyrus post 002
.
cyrus post 003
Lets wait and see..!!

0 comments:

Post a Comment